Hii mechi nilisha imaliza uchambuzi wake kipindi cha kwanza kilicho baki hapa ni wale wa imani za Kichawi bwasheeUlimpigia simu?
Kalale usingizi umeanzaDakika ya 86 goli zinaanza kurudi
Angalau Mbappe anaonesha matumaini ila wengine takataka tupuDikteta aamke sasa mechi ipo dk ya 80 hana shot on target yeye na kikundi chakeView attachment 3629360
Hii mechi inaisha ndani ya dk tisini, yaani hata mipango haionekani.France mpaka sasa hana on target hata moja.Dakika ya 86 goli zinaanza kurudi
SawaDakika ya 86 goli zinaanza kurudi
Kwa hiyo umefurahi mwanetu au sio?Nafikiri unaona
Hivi si wamelingana?? Kesho Messi akiweka tuu baaaaas, kombe hatuna presha nalo sanaMbape kama hawezi kufunga ili amzidi Messi, basi ajitahidi hata kujifunga afikishe goal 10 🤣
Anachezea timu gani mpaka yule wa aseno anakosa no?Chelsea hawana kipa wa maana na sijui hawamuoni huyu Unai Simon?
Yes wamelingana, hata wakibaki sare, MESSI akicheza fainali tu anapewa kiatuHivi si wamelingana?? Kesho Messi akiweka tuu baaaaas, kombe hatuna presha nalo sana