Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,544
- 9,041
Na hii mechi inaonekana bado ina magoliUfaransa wanateseka sana
Ingia wewe uwanjaniNaona upumbavu ukiendelea uwanjani
Fungua niingieIngia wewe uwanjani
Itaanza kombe lijalo moroccoFifa wangeweka na option ya kukimbia aisee
😂😂Kuna watu wahamiaji wanapata tabu sana, kila wanapohamia matanga😅😅
#Hallelujah!!!
Ukijichanganya kuishabikia England furaha yako itakaa kama status whatsapp yaani masaa 24 tuBado kabaki England
Kule yupo Bellingham na Kane
Kwamba Argentina hawaitaki fainali?Final match
Spain vs Engalan