2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hata sisi inatakiwa tuungane na Wanaija tuwatimue wakina Maema
na wenyewe jana wameadhibiwa vikali sana, wachezaji walikuw kama watu waliokata tamaa kabisa
wanacheza kama watua ambao hawana furaha kabisa, imagine hata lile vibe lao lakuingia uwanjani jana lilikuwa kama vile wanalazimisha tu.
 
Goal la kwanza la Korea ni la kuombea Mkopo WB.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Hawa wako na South kundi moja..
SA watakunywa uji wa Moto kote kote..warudi waje watufukuze kwaoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Goal la kwanza la Korea ni la kuombea Mkopo WB.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Hawa wako na South kundi moja..
SA watakunywa uji wa Moto kote kote..warudi waje watufukuze kwaoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Watabadilisha mbinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…