2026 FIFA World Cup - Special Thread

Toka mwanzo niliongelea suala la hisia. Alochofanya Molina ni kurudisha Yale ambayo tayari yalishasemwa. Hakuna jipya aliloliongeza hata taarifa yake ya Leo imerudi pale pale, ila hisia zako/zenu ndio zikawatuma kama ni jambo jipya. Hakuna ambacho amesema ni kipya, ndio maana nimekuwekea Hadi media za Argentina na zenyewe zililkalia kooni hilo suala

Kuhusu FBI na Fifa, hakuna popote FBI anaweza kuionea huruma au kuogopa kuihusisha fifa mwanzoni. Punguza hisia na Yale uyatamaniyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…