Usishangae ikachukua ubingwa 'back to back'...πππHii Argentina tia maji tia maji haifiki fainali
VAR ifutwe!Waige Morocco ...peleka moto motoni..unashinda goli 2 unaanza kukaa nyuma..then usubilie refa ..refaππna kuna VAR..Ukiwa Africa changamkaπ
AstakafirullahHadi huruma, nilitaka waarabu tufike mbali sana japo hadi matumaini kwa morocco siyaoni tena
Muishukuru tu FIFAUnafaa sana kuuguza mgonjwa,unatoa matumaini hata pasipokua na matumaini.
Vamos ARGENTINA.
KabisaaSio bureπ
View attachment 3624504
Sasa unataka tukusaidie nini?Wala mimi sio CR7 team, mimi na waarabu Egypt na morocco hakuna la kuishauri.
Ndo maana nimeumia
The Icebreaker
π€£π€£π€£π€£Sio bureπ
View attachment 3624504
Mkijua kuitumia...VAR inaharibu mchezo. IFUTWE!
VAR ifutwe!
Pole sana ustaz wangu, VUMILIADaaah! Nimeumia sana moyo na roho leo nitalala na huzuni sana π
Kauli ya mwisho ya marehemu kabla ya kukata roho.Muishukuru tu FIFA
πππbado hujasemaMo Salah alikuwa anasikiaga tu kuwa ArgentFIFA ila hakuwahi kushuhudia.
Leo yalivyomkuta amebaki kucheka tuView attachment 3624498
Hawana kiwango kizuri wanashinda kwa bahati sana ngoja uone huko mbeleni watakavyotoka kwa aibuUnafaa sana kuuguza mgonjwa,unatoa matumaini hata pasipokua na matumaini.
Vamos ARGENTINA.
Kuhuzunika na kulia tuSasa unataka tukusaidie nini?