IGoaaaaaal...
Tangu world cup ianze leo nimeshangilia sanaa
England tangu 1960s hajachukua. Not bad.Kombe linapendeza lisipokuwa na wenye nalo. Mwendo uwe hivi hivi wa kustaajabisha.
SureIt is Misri against Fifa
Umechelewa sana kumpa ushauri mkuu.Angalia usinye
Ni aibu sana kutolewa na team ya Africakuna watu wanatamani mechi iishe hata sasa ili watupike.
Pikeni mnavyoweza ila tumebeba kombe historia itatukumbuka hivyo
Fifa president leo sijamuona au hayupo?Hahahahhahahaaahahahhahaha kumamamamammaamakeeeewww
Mashabiki wa yule Mbuzi hao.kuna watu wanatamani mechi iishe hata sasa ili watupike.
WC champion 2022 Argentina.Pikeni mnavyoweza ila tumebeba kombe historia itatukumbuka hivyo
Huna akiliNi aibu sana kutolewa na team ya Africa
Egypt wao Salah bado hajafanya maajabu. Argentina wao Messi hajafanya maajabu. Mechi ya kukaza timu zote hii. Egypt wananifurahisha kupiga counter. Sio kama zile kenge Senegal zinacheza kama zimepewa ofa.Huyu Haissem Hassan ametulia sana kwenye kutengeneza lile goli
Na wanajua sana kutoa utamu hadi Africa unafika?Kazini kwenu kuna kazi