2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kwa namna Misri wanavyocheza ni kama vile mchezo upo dakika za majeruhi. Ni suala la muda tu goli lao watarudishiwa. Wamerudi nyuma wote huku Argentina wakishambulia mfululizo ili kuwalazimisha wafanye makosa. Yaani wanacheza kama wanavyocheza wakiwa Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…