T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,786
- 46,646
Nafasi hizo Spain walizitengeneza wao. Hata Portugal alikuwa na mwanya wa kuzitengeneza kuzitumia au kutozitumia. Ndio nilichoandika mwanzo, Portugal uchezaji wao sio wa kuridhisha kwenye kushambulia.Nafasi walizotengeneza Spain wangezipata Portugal wangekuwa wanaongoza bao 5 mpaka sasa
😂😂😂😂😂😂Christina analaumu wenzake baada ya kupigwa bao palee😂😂😂😂😂
Spain wao wanaridhisha kwenye ushambuliaji wao ambao wanakosa nafasi nyingi?Nafasi hizo Spain walizitengeneza wao. Hata Portugal alikuwa na mwanya wa kuzitengeneza kuzitumia au kutozitumia. Ndio nilichoandika mwanzo, Portugal uchezaji wao sio wa kuridhisha kwenye kushambulia.
Kabla ya kukosa nafasi wanazitengeneza. Kwahiyo kurekebisha makosa wao ni rahisi, mfano kufanya sub. Portugal hata nafasi za kutumia au kukosa hawatengenezi nyingi ndio shida.Spain wao wanaridhisha kwenye ushambuliaji wao ambao wanakosa nafasi nyingi?
Kwishaaa!Kiu ya ronado Kuna na world cup inaennda kufa rasmi
Tunaomba utuwekee goli mkuuSpain wao wanaridhisha kwenye ushambuliaji wao ambao wanakosa nafasi nyingi?