2026 FIFA World Cup - Special Thread

Norway wanafanya poor defensive game.

Yaani kuna namna wanakuwa wengi kwenye ulinzi lakini hakuna wanachofanya... kwa kifupi wameanza game kwa shida.

Ngoja tuone kama hiyo sio penati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…