Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,962
Ungekuwa unabet ungekula hela nyingi sana🚮Kumbukeni niliwaambia France hachukui kombe. Leo nawambia hapa tena toka game inaanza Argentina hatoboi. Kwa naoishi nao huku wanajua nilivyo mzuri kwenye maono.
#Ngoja tuone
We're Out. Utaniambia. Nibaki na Spain sasa12 - This will be Argentina's 12th extra-time match at the FIFA World Cup, equaling Germany for most in the history of the competition.
Including tonight, eight of Argentina's last 14 knockout round matches at the FIFA World Cup have gone to extra time.
Serious I wish too. Ila Value zangu haziniruhusu kushiriki kamaliUngekuwa unabet ungekula hela nyingi sana🚮
Nakushauri baki na Spain mazima, Argentina haitaki mashabiki weakWe're Out. Utaniambia. Nibaki na Spain sasa
Sina imani na haya matokeo. Waongeze la 3 maana Argentina wanaweza funga kweli.Cape Verde wanapoteza umakini baada ya mapumziko mafupi, usishangae likapigwa la 3
Unaaminika mguu wa kutokaMipira yote yakutenga anapiga Messi sio
Sasa hapa hatupo makundi mkuuMichuano ya kombe la dunia mabingwa wa msimu uliopita huwaga wanatolewa makundi, France 98 (2002 ikatolewa), Spain, Germany,Ufaransa 2022 alikaza akaafika fainal back to back, ila huu upepo na uona kwa Argentina.
Himid Mao alikuwa anachezea Taifa Stars, mpaka leo anaitwa. Imagine hata wao wangeng'ang'ania wale wachezaji.Ni miaka 11 hiyo imeshapita