herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,303
- 3,987
Shida ya mashabiki wa CR7 wanaamini ili mchezaji aonekane anacheza vzur lazima afungeGuys nielewesheni Lamine Yamal kaweje man of the mactch. Nilijua atakua Oyarzabal Au Cucurella. Hapo ndo Scars atasema hadi apasukeππππππππ
View attachment 3620933
Miaka 41 na bado ana goli nyingi kuliko mwenye miaka 18Kaisha huyo
Tupe tafsiri ya kucheza vizuriShida ya mashabiki wa CR7 wanaamini ili mchezaji aonekane anacheza vzur lazima afunge
Hawa Croatia wanajambo lao leo naona
Nakuona umepigilia jezi yako ya Yanga unacheki mechi mbili kwa wakati mmoja.