Huyu ni mR Madrid au mr France maana kila akikutana na mbappe lazima amlizeLa Liga players with their personal awards at this World Cup.
Mr. Mbappe
View attachment 3620755
Mr. Vini
View attachment 3620757
Mr Elche
View attachment 3620759
Mtani bhana bado una imani na Cape Verde kumtoa ArgentinaπMi mwenyewe naelekea huko. π€£
Hapa nawasikilizia Ghana tu na Cape Verde.
Messi anacheza leo? Naona sukari ipo juuKama Messi ni mtu humble sana kama watu wanavyomsifia basi game ya leo itakuwa nafasi nzuri kwake kututhibitishia.
Kama ana amini dhana ya kuiweka timu mbele, kwanini leo asianzie benchi ili kuwapa nafasi vijana wadogo nao waonyeshe ubora wao kwenye hii hatua muhimu?
Yes, kama tuzo binafsi kwake sio kipaumbele then this is the ideal moment to let others take the spotlight.
View attachment 3620750
Mbappe at 18Huyu ni mR Madrid au mr France maana kila akikutana na mbappe lazima amlize
Tarehe 4Messi anacheza leo? Naona sukari ipo juu
Jinga hilo mkuu. Yaani ukisikia shabiki maandazi ni Scars.Messi anacheza leo? Naona sukari ipo juu
Nitajie mchezaji mwenye ghalama kubwa sokoni kuliko wote... Nakusubir hapaTarehe 4
Nenda transfer market utakuta hizo dataNitajie mchezaji mwenye ghalama kubwa sokoni kuliko wote... Nakusubir hapa
Mimi nataka umtaje hapa. Au uweke data hapaππNenda transfer market utakuta hizo data
Nikupe link?
inasikitisha sana
Huu ndo ukweli mchungu mashabiki wa France hawataki kuukubali
Inagoma kufungukaMimi nataka umtaje hapa. Au uweke data hapaππ
Umefikia huku...?...Kweli Messi anakukera..ππKama Messi ni mtu humble sana kama watu wanavyomsifia basi game ya leo itakuwa nafasi nzuri kwake kututhibitishia.
Kama ana amini dhana ya kuiweka timu mbele, kwanini leo asianzie benchi ili kuwapa nafasi vijana wadogo nao waonyeshe ubora wao kwenye hii hatua muhimu?
Yes, kama tuzo binafsi kwake sio kipaumbele then this is the ideal moment to let others take the spotlight.
View attachment 3620750
Na hicho ndio kitu ambacho kinafanya mnione kama dogo namchukia.Huu ndo ukweli mchungu mashabiki wa France hawataki kuukubali
π₯ΆπͺπΈ βππ ππ ππππ π πππππ πππ π΅πΆπ» ππ ππππππππππ ππππππ ππππ ππβ, says Lamine Yamal ππ½ββοΈπ
βFrance have not beaten us in two years and so they canβt be considered better than usβ, Yamal has told El Larguero βπ½β¨
βFor sure Frace are at an excellent level, they have wonderful players but I donβt think they are now πππππ ππππππβ π€·π½ββοΈ
βFor me, I make it clear, ππ πππ ππ πππππ πππππβ πβ‘οΈ
Sio Australia ni AustriaNiliishabikia Ivory Coast ilipocheza na Norway. Ikafungwa
Niliishabikia Congo ilipocheza na England. Ikafungwa
Senegal nayo jana ikafungwa.
Sijui nina mkosi gani kwenye kila timu nayoshabikia.
Anyway, Leo nitaishanikia Spain aifunge Australia.
Messi alipoanzia benchi ile mechi yake na Jordan mlikuwa mnasema amefanya hivyo kwasababu jamaa hana greedyUmefikia huku...?...Kweli Messi anakukera..ππ
Mkuu wewe ni chizi na sio pekee yako bali na mashabiki wote wa Real Madrid. Huko juu umesema messi anajifanya humble wakati sio so hamumpendi kwa hilo Yamal yeye sio humble anakupokea kadri ya ulivyokuja na yeye pia hamumpendi.Na hicho ndio kitu ambacho kinafanya mnione kama dogo namchukia.
Dogo ana control za mpira lakini za mdomo hana.
Imagine hapo ndio ana goli 1 lakini cheki level ya mdomo wake kwenye kuongea. Akiwa na goli 5 huyu itakuwaje?
View attachment 3620828