2026 FIFA World Cup - Special Thread

Sasa mimi mtoto wangu akizaliwa nje unategemea nimwambie achezee nchi amabayo haijui na wala haishi huko
Unaota wewe
Kwanza hata mimi kama mzazi, nitafanya ya kama mzazi wa Bakayo Sako
Mkataa kwao ni mtumwa..
 
Sasa mimi mtoto wangu akizaliwa nje unategemea nimwambie achezee nchi amabayo haijui na wala haishi huko
Unaota wewe
Kwanza hata mimi kama mzazi, nitafanya ya kama mzazi wa Bakayo Sako
Wote unaoona wamezaliwa au kukulia kule wanacheza timu za Afrika ujue hawana namba timu za Ulaya.

Saka anaanza kikosi cha kwanza, yuko kwenye timu yenye spirit. Mbappe anaanza kikosi cha kwanza timu inayokuwa top 5 ranks za FIFA angekubali Cameroon ambayo hata kufuzu haiwezi?

Wakishaokota wazungu, wale wanaobaki hati hati ndio tubebe sasa maana wakija huku yakachanganyika na pure wamatumbi tiyari timu inachangamka.

Mbona wazungu wanachuja wanachukua weusi wanaojua, wanapiga chini wazungu wao wasiojua kwenye kikosi? Sisi tunashindwa nini. Hata bongo hapa imagine wakimbizi tunawalea sisi pale Kigoma ila wanaenda kucheza timu za Ulaya. Ilitakiwa tuwaibe, wewe lini Taifa itafika AFCON kwa hawa kina Shomari Kapombe na Himid Mao?
 
Dah.
Hapo mwisho umeandika kwa uchungu sana
 

Word.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…