2026 FIFA World Cup - Special Thread

They pose a greater threat pamoja kuliko kumuacha Amad nje. Hiii game IC threw it away wajilaumu wenyewe. Tubaki na Morocco timu bora ya muda wote Africa.
Morroco nao ni kama wanatuona tunawaletea shobo tu hususan kwa sisi ngozi nyeusi tunaonekana kama tunajipendekeza.

Walitukataa long time, na first game yao tuli hate watch.

Sasa tukianza kujirudi kwasababu ya performance yao watatuona mamluki kwasababu hatukuanza nao pamoja kwenye hii safari yao.
 
Nawaombea sanaa sanaa Senegal wafuzu.Belgium sio wazuri kiviiile,wakaze na wawe sharp watawafunga.Morocco wameonesha uwezo sana jana hadi wivu yani
 

So long as wameingia WC under CAF ni timu ya Africa.

Mimi nawashabikia and I wish them the very best.

Ile ndo timu bora ya Africa ya muda wote. Hayo mengine nawaachia nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…