Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,361
- 10,422
Ila mnapigikaš¤£š¤£Ngoja tuone.
Ila Norway wameshikwa kila mahali
Yani wanazingua balaaWafungwentu watu wanaleta upumbavu golini. Huyo bonny ni wa kutoa nje
Ndio ugonjwa wa timu za Africa hasa za Weusi.Waafrika bhanaa
Mmedominate weee...kufunga no
Bonge la bao!