2026 FIFA World Cup - Special Thread

Japan kwa vyovyote lazima wajipange golini, maana Brazil wanashambulia sio poa...
Brazil hawataki kucheza karata ya ET na penalty shoot out

Wanajua hivyo vipengele vinakawaida ya kuwa favor timu nyingi zinazoingia uwanjani kwa kupaki bus.

Kwasababu kwa asilimia kubwa huko mazoezini wanakuwa wana practice upigaji wa penalti na udakaji.
 
sahihi...
Japan anaomba mpira uishe..
Na dakika za 80s wataanza kujichelewesha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…