Jana algeria kumsprize netherland dakika za lala salama🤣🤣🤣 Argentina vs Algeria 1-1
England 0 - 0 Ghana
Portugal 1 - 1 DRC
Mwafrika hana haki mkuu mbele ya mabeberu hawaHaswa kwa upande wa Marekani...
Lakini jua wakongomani walioko Amerika ni wengi sana pia.
Yaaan nitakula na nyie sahani moja 😂😂Aisee Mkuu, hutupendi kabisa 🤣🤣🤣
Hizo timu zote za African nmeziuwa kanji lazima ateme mzigoKila nikiangalia game ya argentina dhidi ya algeria ,England dhidi ya ghana , Portugal dhidi ya drc kuna jambo linaweza kushangaza ulimwengu wa wawekezaji
Hizo timu za africa sio za kubeza mkuu wakiotea kutanguliq kufunga mbele ya hizi timu kubwa wapo radhi walale golini wote ila historia iandikweHizo timu zote za African nmeziuwa kanji lazima ateme mzigo
Wakilisha toka wanangu hapo natafuta chimbo, hebu niwekee kikosi cha mabingwa wa AfconWote tuko hivyo mdau, we support our Continent
nimepitia kazi ya Spain, wanakikosi kilichonyooka sanaKila nikiangalia game ya argentina dhidi ya algeria ,England dhidi ya ghana , Portugal dhidi ya drc kuna jambo linaweza kushangaza ulimwengu wa wawekezaji