100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,188
- 36,390
Umeona kama mimi, kiukweli ni kama mwamuzi anaipendelea England...Hiyo ilitakiwa iwe foul dhidi ya England.
Refa mshenzi sana...Huyu Refa anazingua sana.
Iwe hivyoHawa gana watapigwa soon
Sio kwa hawa WaingerezaKuna kila dalili England wanaweza kufunga goli hizi dk za mwisho mwisho….