LimefutwaWamepata goli...
Hamna goal hapo uwoni kuna fauloRefalii anaenda VAR ili awapore goli lao
Duh hurumaWatafuta
Fans wa pessi mnateseka sana mkisikia CR7 goat amescoreHuyu ametumwa na team CRπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
On paperIla aliyetuambia kuwa Ureno wanaweza beba kombe.
Alituonea sana π’
Huruma gani unayozungumzia weweDuh huruma
Ni Muongo Mzoefu...πππIla aliyetuambia kuwa Ureno wanaweza beba kombe.
Alituonea sana π’
Itaje tu Argentina..ππSasa hawa wakikutana na timu nzuri itakuwaje?
Mkuu hii team iko ASIA sio UlayaTimu za kiboya kama Uzbekistan ndiyo ziliinyima nafasi Italia.
Afadhali hata Congo na timu nyingine za Afrika zina nafuu kuliko hizi za Ulaya mashariki
Kwahiyo wamepata nafasi kutokea Asia na siyo Ulaya mashariki?Mkuu hii team iko ASIA sio Ulaya