Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,962
Yaani wenzake wanagoli 5 kwa 4 yeye ameenda kushangalia utadhani kabeba wodi cupKeshafunga tutakoma leoπ€£
Leo tutakomaHatimaye CR7 kaanza kutufunga mdomo....π€π€
Kipofu kaonaMbuzi pori bhanaππ
Tutakoma mwaka huuπ€£π€£π€£Hatimaye CR7 kaanza kutufunga mdomo....π€π€
Sio mbaya sana nae afute chozi....πππ...ameanza mchakamchaka wakati wengine wameshachanganya...Tutakoma mwaka huuπ€£π€£π€£
ππππMwenyezi Mungu wabariki na wengine utaniuaa kwa furaha hizi
View attachment 3614193
Poa mkuu, tunasubiri masimango ya goli la kikongweππππMko poa?