Sahihi!Iran 🇮🇷 wamecheza vizuri sana first half japo kuna makosa madogo madogo sana yanaweza kuwagharimu hapo baadae hasa kwenye indivifual marking na penetration passes zinazofanywa na Belgium 🇧🇪
No hao ni Al mukheefHata Egypt
Bila Kotwaa kufanya unyama wake pale ilikuwa aibuIran wamefanya shambulizi moja matata sana hapo
Sema hili group hakuna timu ya maanaHaya bana 🤣🤣😀
Hiki kitakuwa kijerumani nikikiona nakijua ila sijui kusomaDer Meister wird dieses Mal nur sehr schwer zu finden sein." (or "Der Champion wird dieses Mal unter großen Schwierigkeiten gefunden werden.")
Itakuwa imedropBelgium club #7 bora Duniani