2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mimi siwez kuacha, ninajisikia nasema tuu, kama inakuuma niblock usione reply zangu
Wewe Mnywa Visungura Mimi sitakubloc hata niwekewe dau kubwa mezani , inabidi niwe naona reply zako ili niwe nakurekebisha na kukuongoza kwenye njia ya sawa ..

Uzuri wewe ni mlevi mstaarabu hautukani watu hovyo na unajitambua ndio maana sikukatii tamaa na nitaendelea kukurekebisha....
 
Mimi sio mlevi ❌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…