2026 FIFA World Cup - Special Thread

Panama alipigwa na england 6-1 na awamu hii pia anakutana nae apo kumbuka england kwa Croatia tegemea sare ila kwa panama na ghana watakubari KANE anaanza kuhesabu magoli yule
Mwanetu unaichukuliaje Ghana?
Hawa wanaenda hadi 16 bora, tunza hii risit.
Panama anapigwa na Ghana, Ghana ana droo na England, anamfunga Croatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…