2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hakuna kitu atafanya

Na akijidai kufosi ataambulia aibu

Yanayowakuta wenzake hayakuwa maalumu kwa ajili yao, akiingia yeye ndio utaona nati zitavyokazwa na kuanza kuona bora angekaa benchi.
Mimi ninaamini katika yeye akiingia atafunga au atatoa assist
 
Lamine ikitokea ameumia kwa huu mpira basi Germany na Belgium wanaitandika Spain bila kelele.
Hata bila kuumia sioni Spain kama threat kabisa kwenye hii tournament

Acha kabisa kuwataja hao big fishes. Hawa hawa kina Cape Verde wanaweza kufanya Spain asitoke na point 3

Na hili kosa lilifanyika kwa watu waliokuwa wakii hype Spain na kufanya wapinzani wajipange haswa na kucheza kwa intensity ya juu.
 
Nakubaliana na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…