2025 tunafunga mwaka na orodha hii ya majeshi bora duniani, Iran ipo chini ya Israel baada ya kupoteza makamanda wake wakuu wengi

2025 tunafunga mwaka na orodha hii ya majeshi bora duniani, Iran ipo chini ya Israel baada ya kupoteza makamanda wake wakuu wengi

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,451
Ranking hii ya majeshi ni kulingana na takwimu za Global Firepower, taasisi inayoaminika zaidi kwenye ranking. Inapendekezwa kuzingatia kuwa kiwango cha uhalisia na usahihi wake ni zaidi kwa nchi za juu; vipimo kwa nchi zilizo chini hasa za Afrika vinaweza kutia shaka kutokana na vigezo vya takwimu na taarifa kuwa vichache.

  1. United States – PwrIndx: 0.0744
  2. Russia – PwrIndx: 0.0788
  3. China – PwrIndx: 0.0788
  4. India – PwrIndx: 0.1184
  5. South Korea – PwrIndx: 0.1656
  6. United Kingdom – PwrIndx: 0.1785
  7. France – Imepanda, PwrIndx: 0.1878
  8. Japan – Imeshuka, PwrIndx: 0.1839
  9. Turkiye – PwrIndx: 0.1902
  10. Italy – PwrIndx: 0.2164
  11. Brazil – PwrIndx: 0.2415
  12. Pakistan – Imeshuka, PwrIndx: 0.2513
  13. Indonesia – PwrIndx: 0.2557
  14. Germany – Imepanda, PwrIndx: 0.2601
  15. Israel – Imepanda, PwrIndx: 0.2661
  16. Iran – Imeshuka, PwrIndx: 0.3048
  17. Spain – PwrIndx: 0.3242
  18. Australia – Imeshuka, PwrIndx: 0.3298
  19. Egypt – Imeshuka, PwrIndx: 0.3427
  20. Ukraine – Imeshuka, PwrIndx: 0.3755
Kushuka kwa Iran kumechangiwa na sababu mojawapo ya Israel kuweza kuangamiza wakuu na makamanda wakuu wengi sana wa idara za ulinzi akiwemo mkuu wa jeshi katika vita iliyopiganwa kwa siku 12 mwaka huu.

2025 tunafunga mwaka na orodha hii ya majeshi bora duniani. Kulingana na tathmini ya Global Firepower, viwango vya kijeshi hupimwa kwa kuzingatia uwezo wa kivita, teknolojia ya silaha, bajeti ya ulinzi, idadi ya wanajeshi, na nguvu za kimkakati. Orodha hii inaonyesha jinsi mataifa mbalimbali yalivyopanda au kushuka kutokana na mabadiliko ya kijeshi na kiusalama yaliyoshuhudiwa mwaka mzima.

  1. United States
  2. Russia
  3. China
  4. India
  5. South Korea
  6. United Kingdom
  7. France
  8. Japan
  9. Türkiye
  10. Italy
  11. Brazil
  12. Pakistan
  13. Indonesia
  14. Germany
  15. Israel
  16. Iran
  17. Spain
  18. Australia
  19. Egypt
  20. Ukraine
Jeshi la Tanzania ni la mwisho katika nchi zote duniani. JWTZ wanazidiwa hadi na mgambo wa Sudan kusini.
 
China ni no.1 mzee, PLA ni balaa. Navy fleet yao ni kubwa MNO. Wanajeshi zaidi ya 2m, na wanajiandaa kuvamia Taiwan hawachekeshi.
 
Ranking hii ya majeshi ni kulingana na takwimu za Global Firepower, taasisi inayoaminika zaidi kwenye ranking. Inapendekezwa kuzingatia kuwa kiwango cha uhalisia na usahihi wake ni zaidi kwa nchi za juu; vipimo kwa nchi zilizo chini hasa za Afrika vinaweza kutia shaka kutokana na vigezo vya takwimu na taarifa kuwa vichache.

  1. United States – PwrIndx: 0.0744
  2. Russia – PwrIndx: 0.0788
  3. China – PwrIndx: 0.0788
  4. India – PwrIndx: 0.1184
  5. South Korea – PwrIndx: 0.1656
  6. United Kingdom – PwrIndx: 0.1785
  7. France – Imepanda, PwrIndx: 0.1878
  8. Japan – Imeshuka, PwrIndx: 0.1839
  9. Turkiye – PwrIndx: 0.1902
  10. Italy – PwrIndx: 0.2164
  11. Brazil – PwrIndx: 0.2415
  12. Pakistan – Imeshuka, PwrIndx: 0.2513
  13. Indonesia – PwrIndx: 0.2557
  14. Germany – Imepanda, PwrIndx: 0.2601
  15. Israel – Imepanda, PwrIndx: 0.2661
  16. Iran – Imeshuka, PwrIndx: 0.3048
  17. Spain – PwrIndx: 0.3242
  18. Australia – Imeshuka, PwrIndx: 0.3298
  19. Egypt – Imeshuka, PwrIndx: 0.3427
  20. Ukraine – Imeshuka, PwrIndx: 0.3755
Kushuka kwa Iran kumechangiwa na sababu mojawapo ya Israel kuweza kuangamiza wakuu na makamanda wakuu wengi sana wa idara za ulinzi akiwemo mkuu wa jeshi katika vita iliyopiganwa kwa siku 12 mwaka huu.

Lile la kwenu linabembea kwenye mkia wa inzi,konokono ama wa kinyonga?
 
China ni no.1 mzee, PLA ni balaa. Navy fleet yao ni kubwa MNO. Wanajeshi zaidi ya 2m, na wanajiandaa kuvamia Taiwan hawachekeshi.
Jeshi la China limejikita zaidi kwenye idadi na meli, lakini experience ya vitendo vya kimataifa ni kidogo ikilinganishwa na baadhi ya majeshi yenye uzoefu wa vita vya kimataifa.

Licha ya ukubwa, baadhi ya teknolojia bado ni chini ya kiwango cha Marekani, Uingereza, na baadhi ya washindani wa kieneo, ndio maana nchi nyingi za juu zinakwepa kutumia silaha zao,
 
Jeshi la China limejikita zaidi kwenye idadi na meli, lakini experience ya vitendo vya kimataifa ni kidogo ikilinganishwa na baadhi ya majeshi yenye uzoefu wa vita vya kimataifa.

Licha ya ukubwa, baadhi ya teknolojia bado ni chini ya kiwango cha Marekani, Uingereza, na baadhi ya washindani wa kieneo, China wanajua sana kucopy trknojia ndio maana nchi nyingi za juu zinakwepa kutumia silaha zao,
China ndo muuzaji wa nne wa silaha duniani

Hana technology zilizofaulu majaribio zaidi ya US lakini tabia yake ya ubunifu ndo imemfanya mpaka aongoze kwenye amphibious ships, unmanned drones na AI.
 
China ndo muuzaji wa nne wa silaha duniani

Hana technology zilizofaulu majaribio zaidi ya US lakini tabia yake ya ubunifu ndo imemfanya mpaka aongoze kwenye amphibious ships, unmanned drones na AI.
China anauza sana silaha kwa nchi nyingi zisizo na uwezo kiuchumi, huhitaji bajeti kubwa sana. inaonyesha upande dhaifu wa teknolojia zake, silaha nyingi zinalenga bei nafuu na wingi kuliko ubora wa juu

Inazalisha drones kwa wingi, kwa gharama ndogo, bei rahisi lakini ni inferior japo ni kweli zinapiga kazi,

Lakini bado jeshi la China lina nguvu sio la kudharaulika kama iliyokuwa miaka ya zamani akiitwa sick man of Asia
 
Ranking hii ya majeshi ni kulingana na takwimu za Global Firepower, taasisi inayoaminika zaidi kwenye ranking. Inapendekezwa kuzingatia kuwa kiwango cha uhalisia na usahihi wake ni zaidi kwa nchi za juu; vipimo kwa nchi zilizo chini hasa za Afrika vinaweza kutia shaka kutokana na vigezo vya takwimu na taarifa kuwa vichache.

  1. United States – PwrIndx: 0.0744
  2. Russia – PwrIndx: 0.0788
  3. China – PwrIndx: 0.0788
  4. India – PwrIndx: 0.1184
  5. South Korea – PwrIndx: 0.1656
  6. United Kingdom – PwrIndx: 0.1785
  7. France – Imepanda, PwrIndx: 0.1878
  8. Japan – Imeshuka, PwrIndx: 0.1839
  9. Turkiye – PwrIndx: 0.1902
  10. Italy – PwrIndx: 0.2164
  11. Brazil – PwrIndx: 0.2415
  12. Pakistan – Imeshuka, PwrIndx: 0.2513
  13. Indonesia – PwrIndx: 0.2557
  14. Germany – Imepanda, PwrIndx: 0.2601
  15. Israel – Imepanda, PwrIndx: 0.2661
  16. Iran – Imeshuka, PwrIndx: 0.3048
  17. Spain – PwrIndx: 0.3242
  18. Australia – Imeshuka, PwrIndx: 0.3298
  19. Egypt – Imeshuka, PwrIndx: 0.3427
  20. Ukraine – Imeshuka, PwrIndx: 0.3755
Kushuka kwa Iran kumechangiwa na sababu mojawapo ya Israel kuweza kuangamiza wakuu na makamanda wakuu wengi sana wa idara za ulinzi akiwemo mkuu wa jeshi katika vita iliyopiganwa kwa siku 12 mwaka huu.

List fake kabisa.
JWTZ ni jeshi la 6 kwa ubora duniani, kwa mujibu wa msemaji wa JWTZ wenyewe.
Hutaki unaacha.
 
Unaweza kuwa na naval fleet kubwa kumbe ni maskrepa yanayoelea kwenye maji wakati fleet za USA ni ndogo ila Zina stealth technology hapo vp
Ni sawa na jeshi kuwa na ndege 100 aina ya J21, haziwezi kusogelea hata ndege 1 aina ya F 15
 
Ranking hii ya majeshi ni kulingana na takwimu za Global Firepower, taasisi inayoaminika zaidi kwenye ranking. Inapendekezwa kuzingatia kuwa kiwango cha uhalisia na usahihi wake ni zaidi kwa nchi za juu; vipimo kwa nchi zilizo chini hasa za Afrika vinaweza kutia shaka kutokana na vigezo vya takwimu na taarifa kuwa vichache.

  1. United States – PwrIndx: 0.0744
  2. Russia – PwrIndx: 0.0788
  3. China – PwrIndx: 0.0788
  4. India – PwrIndx: 0.1184
  5. South Korea – PwrIndx: 0.1656
  6. United Kingdom – PwrIndx: 0.1785
  7. France – Imepanda, PwrIndx: 0.1878
  8. Japan – Imeshuka, PwrIndx: 0.1839
  9. Turkiye – PwrIndx: 0.1902
  10. Italy – PwrIndx: 0.2164
  11. Brazil – PwrIndx: 0.2415
  12. Pakistan – Imeshuka, PwrIndx: 0.2513
  13. Indonesia – PwrIndx: 0.2557
  14. Germany – Imepanda, PwrIndx: 0.2601
  15. Israel – Imepanda, PwrIndx: 0.2661
  16. Iran – Imeshuka, PwrIndx: 0.3048
  17. Spain – PwrIndx: 0.3242
  18. Australia – Imeshuka, PwrIndx: 0.3298
  19. Egypt – Imeshuka, PwrIndx: 0.3427
  20. Ukraine – Imeshuka, PwrIndx: 0.3755
Kushuka kwa Iran kumechangiwa na sababu mojawapo ya Israel kuweza kuangamiza wakuu na makamanda wakuu wengi sana wa idara za ulinzi akiwemo mkuu wa jeshi katika vita iliyopiganwa kwa siku 12 mwaka huu.

Brother husiamini huo upumbavu. Mambo ya majeshi yana usili mkubwa sana
 
Back
Top Bottom