Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,223
Sio mpole yule, she is just smart, very smartUpole utamgharim mama na Chama 2025
Sio mpole yule, she is just smart, very smartUpole utamgharim mama na Chama 2025
Comment iliyoshibaAcha uongo upinzani gani una vilaza?. Magufuri alimteua mwana CUF kuwa Katibu Mkuu wa CCM au umesahau. Kuna mawaziri na manaibu mawaziri wangapi wametokea upinzani?. Juzi hapa baada ya kufanya faulo kwenye uchaguzi wakaenda kuwachukua wanawake kumi na Tisa was upinzani na kuwaweka bungeni na kuahidi kuwalinda kwa gharama yeyote.
Kuna kozi ya Urais?
Na wewe kagonge ulimbo unalia Lia nini sasa
Ndie anaeuzika kwa sasa kwa watz.Huyo Lisu na Mwendazake kuna tofauti gani? Mda wa kufanyia majaribia Nchi na maisha yetu haupo.Hana sifa za kuwa Rais ila mpinzani na mwanaharakati..
Sio kila anaenyanyua mdomo basi awe Rais ,haipo hiyo.
Labda anauzika kwa AmsterdamNjia
Ndie anaeuzika kwa sasa kwa watz.
Alimkimbiza mwendazake hadi akapiga goti kuomba kura
Level yako kuanzia elimu hadi kufikiria ni ndogo sana . Siwezi kubishana na wewe ila wewe ni MFU.Na wewe ni nani? Popoma au?