Paraghraph zako 2 za kwanza zilinifanya nifikiri ni chawa kazini ila mpaka mwisho wa comment yako nimekuelewa mno.Mamlaka ya kiti cha uraisi yanapaswa yawe na Uungu ndani yake, katika Uungu hakuna kingine kilichojaa zaidi ya UPENDO (Agape).
Jinsi UPENDO wa Rais Samia unavyopoa ndivyo jinsi mamlaka aliyopewa na aliyonayo yanapoa pia.
Wamasai hawajazaliwa Ngorongoro kwa bahati mbaya na waarabu wa Dubai, Oman hawajazaliwa uarabuni kwa bahati mbaya.
Rais Samia anapaswa kutafakari yeye binafsi na kujifanyia tathmini akiona vipi asisubiri kama mbwai iwe mbwai bora astaafu zake kwa heshima 2025 arudi zake Kizimkazi tutaendelea kumpenda na kumuheshimu.
Mungu amekupa akili uzitumoe.Acheni kumsingizia Mungu kwa kila kitu.Mungu asingekata utumie akili angekuumba msukule.Nyie ndo nata kiongozi akifanya ujinga mnakubali....Mungu mwenyewe ndio anaejua anatufaa au hatufai hakuna mtu atayeweza kumbadilisha kiongozi wa juu ndio maana tunaambiwa tuitii mamlaka ila kwenye utawala kukiwa dhuluma iliyozidi vilio vya wengi ni Moja ya mambo ambayo Mungu huwa anasikia haraka sana anafanya maamuzi Mh rais usifanye michezo na vilio vya wamasai watu zaidi za laki moja wanakulilia wewe lakini tunakundi kubwa la gen z vijana Hawa Wana mengi mioyo yao
Kwani yeye alikuwa na nia ya kuwa Raisi?Mungu yupi huyo!?
amejaribu kupunguza upinzani kwa kuwaleta akina Lukuvi...... nawaza hivyoChawa na walamba asali kwa kupitia yeye wanampa moyo eti atatoboa 2025 ki ulaini kuliko wote walio mtangulia.
Wapo walio anza kuwa na mashaka ya jinsia yake ki uongozi na huku wakienda mbali zaidi kwa wao kuonyesha kujutia kuongozwa naye.
Atatoboa kweli ki siasa 2025?
Binafsi naliona giza ki siasa kwake
Awal kulli ,Chawa na walamba asali kwa kupitia yeye wanampa moyo eti atatoboa 2025 ki ulaini kuliko wote walio mtangulia.
Wapo walio anza kuwa na mashaka ya jinsia yake ki uongozi na huku wakienda mbali zaidi kwa wao kuonyesha kujutia kuongozwa naye.
Atatoboa kweli ki siasa 2025?
Binafsi naliona giza ki siasa kwake
Atatobolewa yeyeChawa na walamba asali kwa kupitia yeye wanampa moyo eti atatoboa 2025 ki ulaini kuliko wote walio mtangulia.
Wapo walio anza kuwa na mashaka ya jinsia yake ki uongozi na huku wakienda mbali zaidi kwa wao kuonyesha kujutia kuongozwa naye.
Atatoboa kweli ki siasa 2025?
Binafsi naliona giza ki siasa kwake
Sipigi ramli, hiyo IPO hivyo, utake usitake.
[emoji1787][emoji1787]Sipigi ramli, hiyo IPO hivyo, utake usitake.
Atoboe siri labdaChawa na walamba asali kwa kupitia yeye wanampa moyo eti atatoboa 2025 ki ulaini kuliko wote walio mtangulia.
Wapo walio anza kuwa na mashaka ya jinsia yake ki uongozi na huku wakienda mbali zaidi kwa wao kuonyesha kujutia kuongozwa naye.
Atatoboa kweli ki siasa 2025?
Binafsi naliona giza ki siasa kwake
Atatoboa vizuri kabisa.Atatoboa kweli ki siasa 2025?
Sipigi ramli, hiyo IPO hivyo, utake usitake.
ππππ€£π€£π€£π€£π€£ππHatoboi
Cha msingi ni kuzuiya zote ambazo siyo halali tuone kama atatoboa. Tukisema hatutaki hujuma sidhani kama atatoboa