Wee jamaa hii Dunia mbona toka long time tu ni ubabe sema now smartphone inakufanya uone mambo ndio mengi ila ni machache sana
Just imagine vita za enzi za kina Genghis Khan, Alexander the great,Julius Caesar,King David, Nebuchadnezzar,Koresh Nk ziliondoa mamilioni ya Raia na ulikua ukatili haswa leo kuna vita au maigizo ya vita kamanda,
Dunia ya kale ilikua na ubabe kiasi kwamba Shetani mwenyewe alikua anagwaya!