African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 916
- 1,561
Sio lazima uanze chini mkuu. Mimi nilianza na Python, ilinipa moyo wa kujifunza vitu vingi kuhusiana na programming language kutokana na ilivyo rahisishwa.Sahihi wadau walinishauri nianze kujifunza other languages before python tena ambayo imeletwa moja kwa moja kwenye field yangu probably ningeanza na c kupata basics.
[emoji106]Sio lazima uanze chini mkuu. Mimi nilianza na Python, ilinipa moyo wa kujifunza vitu vingi kuhusiana na programming language kutokana na ilivyo rahisishwa.
Nilivyokuwa comfortable nayo nikahamia kwenye Javascript. Ilinichukua wiki kadhaa kuwa comfortable na Javascript. Nikahamia kwenye Dart, then Swift then Kotlin, Java, C++, Php.. yani nikawa naruka huku na kule.
Kwa ufupi, ni kwamba programming language zote zina concepts zinazofanana, kinachobadilika ni syntax na vitu vidogo sana. Language nzuri ni ile unayoitumia kwenye kazi zako.
Kwa sasa nadevelop android, ios & hybrid Apps kwa flutter, backend nafanya kwa express.js. Hivo natumia Kotlin, Swift, Dart na Javascript.
Sio lazima uanze chini mkuu. Mimi nilianza na Python, ilinipa moyo wa kujifunza vitu vingi kuhusiana na programming language kutokana na ilivyo rahisishwa.
Nilivyokuwa comfortable nayo nikahamia kwenye Javascript. Ilinichukua wiki kadhaa kuwa comfortable na Javascript. Nikahamia kwenye Dart, then Swift then Kotlin, Java, C++, Php.. yani nikawa naruka huku na kule.
Kwa ufupi, ni kwamba programming language zote zina concepts zinazofanana, kinachobadilika ni syntax na vitu vidogo sana. Language nzuri ni ile unayoitumia kwenye kazi zako.
Kwa sasa nadevelop android, ios & hybrid Apps kwa flutter, backend nafanya kwa express.js. Hivo natumia Kotlin, Swift, Dart na Javascript.
njoo in boxNipo hapa mkuu natengeneza native android & ios apps
Kuna muda haitakiwi uanze chini sana mkuu, me language yakwanza kujifunza ilikuwa python before university, Na waliokuwa wananifundisha kipindi hicho walikuwa ni walimu wa physics PhD ila kwao walikuwa wanajifunza pia programming japo kwetu haikuwa kwenye syllabus, ila huku walikuja na waliletwa na government, walitufundisha physics lakini kwasabu tulikuwa funded na computer lab wao wakapewa kuzimanage, they were humble na wakatafta wanafunzi ambao wako interested so part time tulijifunza programming, kuanzia form 5 Hadi 6, na ilinisaidia sana.kama ulivyosema ungeanza chini kwanza. Python kwa upande wangu naona ni kama umeruka hatua nyingi hapo katikati.