Kumbe, nilikuwa sijui hivyo.Halafu Etoo anashangilia wakati kafanya Mchongo.
Anataka kuonekana yeye ndio Rais bora kaingia kama Rais wa FA ya Cameroon na kubeba ndoo.
Ni haki yake bro
Mentality ya beki
Mpira wetu umetawaliwa na Usimba na Yanga, hâta kwenye team ya Taifa watu wanakuwa na mentality za kushindana wao kwa wako kwanza kabla ya kuwafikia opponents wao viwanjani.Kwa ujinga wetu hawa jamaa wanaweza enda worlcup kabla yetu
Misri, Tunisia au Morocco wanabeba hii kitu.
Forget about hoster Cameroon, watapigwa tu na waarabu.
Natamani Cameroon afungwe
Sasa naamini Hawa Commors wavekuwa full, hakika Cameroon angakaaa
Gambia hakuna timu pale, kuna njia Cameroon anapitishwa ila mwisho wake atakuja kukutana na the elephant horn na atajua kama hajui.Refa bwege kabisa, 1st half extra time 4min, 2nd half extra time 3min halafu kamalizia game kwenye move, bwege kabisa.
Gambia watawapiga za kutosha hawa wajinga.
Mzeee wasema Gambia hakuna kitu????Gambia hakuna timu pale, kuna njia Cameroon anapitishwa ila mwisho wake atakuja kukutana na the elephant horn na atajua kama hajui.
Kwel mkuu naamini, kwa jinsi Commor walikuwa wanawakosakosa jana wakikutana na vigogo wanatolewaNgoja akutane na Morocco, marefa watatumia njia zote kuwabeba kama waandaaji lakini tutawafumua nyingi hawataamini 😂
Fafanua kidogo mkuuNaskia kuna vifo vimetokea Jana baada ya mechi
RIP wote
Ni kama alivyobebwa England kwenye EURO mwisho akatolewa, hâwa Cameroon wape muda tu.Gambia hakuna timu pale, kuna njia Cameroon anapitishwa ila mwisho wake atakuja kukutana na the elephant horn na atajua kama hajui.
Mashabiki walivamia uwanja kutaka kuingia kwa nguvu , inasemekana watu 6 wamepoteza maisha na zaidi ya 40 ni majeruhiFafanua kidogo mkuu
Huyu golikipa ni haki kuwa MAN OF THE MATCH,hawa washenz wamebebwa kinoma ad kero