Hapa naona tz tujifunze kitu....tatizo sio makocha tatizo ni qquality ya wachezaji katika timu ya taifa. Mpaka pale tutapata wachezaji wanacheza ulaya big leagues ndio tuanze story za afcon

Guinea wameniangusha sana.wameonyesha kiwango kizuri ila kwenye umaliziaji ndo tatizo.alafu wamecheza sana ile style ya anao anao hadi wakakosa focus ya umaliziaji.