Hakuna kujiangusha haya ni maneno ya kwenye kahawa 2shayazoea kitambo kwa wasiyojua mpira mzehe, 2acheni porojo na malalamiko wajomba, kujiangusha cyo sababu ya kupata ushindi bwana, wengine majeruhi yameewaandama, so wakiangushwa mnadai wanajiangusha 😆😆😆 kwa ufupi soka la kaskazini ni high level mzehe, wame2acha mbali mno, sema dic time hawakua vizuli. Ivyo 2kubari 2katae washikaji wame2acha mbali.
Kwenye hii round of 16 bado kutakuwa na surprises kibao kwani kuna timu zinazopigiwa upatu zitafungishwa virago, Nigeria, Morocco, Mali, Egypt wajichunge sana. Nitarejea.