Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,670 Reaction score 50,988 Jan 20, 2022 #1,121 Wakifika hatua za mtoano ndiyo nitaanza kufuatilia baada ya makundi
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Jan 20, 2022 Thread starter #1,122 Ivory Coast are on fire
Frustration JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,151 Reaction score 4,141 Jan 20, 2022 #1,123 Algeria hawa mpira umebadilika sana naona ufalme wa waarabu Afrika unaisha kwa sasa.
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Jan 20, 2022 #1,124 Mchochezi said: Nigeria kombe letu Click to expand... Kabsa mkuu, AFCON ya kwetu mwaka huu
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Jan 20, 2022 Thread starter #1,125 Hii midfield ya Algeria utadhani ya Man utd
Frustration JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,151 Reaction score 4,141 Jan 20, 2022 #1,126 FORTALEZA said: Ivory Coast are on fire Click to expand... Hata hivyo Algeria wanacheza chini ya kiwango hasa viungo wao la 3 hilo waoooooo
FORTALEZA said: Ivory Coast are on fire Click to expand... Hata hivyo Algeria wanacheza chini ya kiwango hasa viungo wao la 3 hilo waoooooo
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,096 Reaction score 122,457 Jan 20, 2022 #1,127 Nionavyo soka la kaskazini kwa Afrika upande wa Mataifa unaelekea kupotea vitabakia vilabu tu sasa.
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Jan 20, 2022 Thread starter #1,128 Pepe anafunga goli la 3
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Jan 20, 2022 Thread starter #1,129 Frustration said: Hata hivyo Algeria wanacheza chini ya kiwango hasa viungo wao la 3 hilo waoooooo Click to expand... Wapigweeee tu😂
Frustration said: Hata hivyo Algeria wanacheza chini ya kiwango hasa viungo wao la 3 hilo waoooooo Click to expand... Wapigweeee tu😂
Frustration JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,151 Reaction score 4,141 Jan 20, 2022 #1,130 Timu yangu ni Ivory Coast ila wakitolewaga huwa nabakia Algeria
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Jan 20, 2022 Thread starter #1,131 Pepe anafunga magoli ya Mahrez😂😂😂
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Jan 20, 2022 Thread starter #1,132 Frustration said: Timu yangu ni Ivory Coast ila wakitolewaga huwa nabakia Algeria Click to expand... Hahaha zote mbili za kwako
Frustration said: Timu yangu ni Ivory Coast ila wakitolewaga huwa nabakia Algeria Click to expand... Hahaha zote mbili za kwako
Frustration JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,151 Reaction score 4,141 Jan 20, 2022 #1,133 FORTALEZA said: Pepe anafunga goli la 3 Click to expand... Zao la Arsenal hilo tunanufaika nalo Ivory Coast what a coincidence!
FORTALEZA said: Pepe anafunga goli la 3 Click to expand... Zao la Arsenal hilo tunanufaika nalo Ivory Coast what a coincidence!
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Jan 20, 2022 Thread starter #1,134 Yule jamaa aliyewapa Ivory Coast kwenye mkeka wake daah 🔥🔥🔥
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Jan 20, 2022 Thread starter #1,135 Frustration said: Zao la Arsenal hilo tunanufaika nalo Ivory Coast what a coincidence! Click to expand... Kule anakaa mkeka lakini
Frustration said: Zao la Arsenal hilo tunanufaika nalo Ivory Coast what a coincidence! Click to expand... Kule anakaa mkeka lakini
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Jan 20, 2022 Thread starter #1,136 Penati ya mchongo
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Jan 20, 2022 Thread starter #1,137 Wasije wakafanya come back
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,053 Reaction score 23,670 Jan 20, 2022 #1,138 Kuna vitu vinakera sana badala ya kutolewa senegal na misri wanaenda kutolewa algeria
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Jan 20, 2022 Thread starter #1,139 nguvu said: Kuna vitu vinakera sana badala ya kutolewa senegal na misri wanaenda kutolewa algeria Click to expand... Sasa mkuu kama hawana uwezo wabebwe?
nguvu said: Kuna vitu vinakera sana badala ya kutolewa senegal na misri wanaenda kutolewa algeria Click to expand... Sasa mkuu kama hawana uwezo wabebwe?
Frustration JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,151 Reaction score 4,141 Jan 20, 2022 #1,140 Penalt ya Mchongo hii 3 1