Kila lenye mwanzo halikosi mwisho, leo tumefikia tamati ya mashindano haya, kwa kumpata bingwa Senegal.
Niwashukuru wote mlioshiriki kwenye uzi huu, mmenogesha sana jukwaa lakini ilitufanya tuendelee kufatilia michuano hii japo mwanzoni ilionekana kama imepooza!
All in all, tuendelee kukutana kwenye nyuzi zetu za michezo hapa hapa JF, mtandao bora kabisaaaa!!