Hawa burkina bwana kumbe ata 1998 walikuwa wanaongoza 4-1 dhidi ya congo dr magoli yakarudi na wakafungwa kwenye penalty. Wamezingua sana leo hawatalala hawa
Naifagilia Senegal kushinda leo tena ndani ya muda wa kawaida. Kwa mechi hizi mbili za robo na nusu fainali Senegal wame-improve sana hasa safu yao ya ushambuliaji.
Hivyo kama wata-maintain hiyo form na momentum nawapa nafasi kubwa ya kulitwaa kombe hilo kwa mara ya kwanza katika historia yao.
Ningetaman Sana yule referee mu Ethiopia aliyefuta penalty mbili za Senegal dhidi ya burkinafaso kupitia var achezeshe mechi ya Leo, huwa Na enjoy sana ninapomuona kazini ananikumbusha Pierlluigi Collina
Ningetaman Sana yule kocha mu Ethiopia aliyefuta penalty mbili za Senegal dhidi ya burkinafaso kupitia var achezeshe mechi ya Leo, huwa Na enjoy sana ninapomuona kazini ananikumbusha Pierlluigi Collina