Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,512 Reaction score 9,552 Feb 6, 2022 #3,401 bukinafaso **** tuu
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Feb 6, 2022 #3,402 Adios Amigo
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Feb 6, 2022 #3,403 Forza Cameroon
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Feb 6, 2022 Thread starter #3,404 Huyu golikipa namba mbili aliyeingia kama kaenda kukamilisha ratiba😂😂
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,320 Feb 6, 2022 #3,405 LIVERPOOL vs AC MILAN 2005 iliisha 3 kwa 3 baada ya Liverpool kufanya comeback na kushinda kwenye matuta. Leo imejirudia tena.
LIVERPOOL vs AC MILAN 2005 iliisha 3 kwa 3 baada ya Liverpool kufanya comeback na kushinda kwenye matuta. Leo imejirudia tena.
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Feb 6, 2022 Thread starter #3,406 Ila Cameroon wamebebwa sana katika michuano hii ya mwaka huu!!
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Feb 6, 2022 Thread starter #3,407 Hardlife said: LIVERPOOL vs AC MILAN 2005 iliisha 3 kwa 3 baada ya Liverpool kufanya comeback na kushinda kwenye matuta. Leo imejirudia tena. Click to expand... Ila leo kulikuwa na dhuluma kwenye goli la 3
Hardlife said: LIVERPOOL vs AC MILAN 2005 iliisha 3 kwa 3 baada ya Liverpool kufanya comeback na kushinda kwenye matuta. Leo imejirudia tena. Click to expand... Ila leo kulikuwa na dhuluma kwenye goli la 3
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,509 Reaction score 88,667 Feb 6, 2022 #3,408 Hardlife said: Burkina Faso atakuwa mshindi wa 4. Wamekata tamaa sana. Click to expand... Bwana ukishapigwa comeback ya namna hiyo akili inachanganyikiwa
Hardlife said: Burkina Faso atakuwa mshindi wa 4. Wamekata tamaa sana. Click to expand... Bwana ukishapigwa comeback ya namna hiyo akili inachanganyikiwa
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Feb 6, 2022 Thread starter #3,409 Raani said: Sema kwa mbinde sana Click to expand... Ndio ishakuwa 😂😂
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,320 Feb 6, 2022 #3,410 FORTALEZA said: Ila Cameroon wamebebwa sana katika michuano hii ya mwaka huu!! Click to expand... Yes. Marefa wamejitahidi sana katika hilo.
FORTALEZA said: Ila Cameroon wamebebwa sana katika michuano hii ya mwaka huu!! Click to expand... Yes. Marefa wamejitahidi sana katika hilo.
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Feb 6, 2022 #3,411 Vincent Aboubakar AFCON 2021 Top Scorer
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,320 Feb 6, 2022 #3,412 FORTALEZA said: Ila leo kulikuwa na dhuluma kwenye goli la 3 Click to expand... Ofcourse
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Feb 6, 2022 Thread starter #3,413 Mpira wetu una safari ndefu sana Hardlife said: Yes. Marefa wamejitahidi sana katika hilo. Click to expand...
Mpira wetu una safari ndefu sana Hardlife said: Yes. Marefa wamejitahidi sana katika hilo. Click to expand...
park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,950 Reaction score 7,090 Feb 6, 2022 #3,414 Hii ndio inaitwa kupokonywa tonge mdomoni.. Congrats Cameroon Pole Burkinafaso Up next.......
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Feb 6, 2022 Thread starter #3,415 Kayoka said: Aboubakar AFCON 2022 Top Scorer Click to expand... Kimahesabu bado ila kiuhalisia tayari
Kayoka said: Aboubakar AFCON 2022 Top Scorer Click to expand... Kimahesabu bado ila kiuhalisia tayari
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Feb 6, 2022 Thread starter #3,416 park don said: Hii ndio inaitwa kupokonywa tonge mdomoni.. Congrats Cameroon Pole Burkinafaso Up next....... Click to expand... Senegal Vs Egypt Saa4:00 usiku
park don said: Hii ndio inaitwa kupokonywa tonge mdomoni.. Congrats Cameroon Pole Burkinafaso Up next....... Click to expand... Senegal Vs Egypt Saa4:00 usiku
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Feb 6, 2022 Thread starter #3,417 Team Senegal tujuane mapema japo Senegal ina bahati mbaya na fainali
asahd JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 341 Reaction score 467 Feb 6, 2022 #3,418 Team Egypt tujuane kabisa🇪🇬
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Feb 6, 2022 #3,419 FORTALEZA said: Team Senegal tujuane mapema japo Senegal ina bahati mbaya na fainali Click to expand... Kesho Mimi ni mwarabu kama kawaida. Karibu sana mfurahie soka
FORTALEZA said: Team Senegal tujuane mapema japo Senegal ina bahati mbaya na fainali Click to expand... Kesho Mimi ni mwarabu kama kawaida. Karibu sana mfurahie soka
Jerry94 JF-Expert Member Joined Mar 2, 2016 Posts 334 Reaction score 545 Feb 6, 2022 #3,420 Kayoka said: Vincent Aboubakar AFCON 2021 Top Scorer Click to expand... Anagoli ngapi?