2021 AFCON Special Thread

Hawa Bukina Fasso Kiutani Utani Watacheza Fainali Hivi Hivi Tunaangalia, Sina Imani Na Tunisia Dhidi Ya Bukina Fasso. Itakuwa Ni Mechi Ngumu Sana

Hawa Cameroon Leo Ndio Wanaaga
 
Hawa Bukina Fasso Kiutani Utani Watacheza Fainali Hivi Hivi Tunaangalia, Sina Imani Na Tunisia Dhidi Ya Bukina Fasso. Itakuwa Ni Mechi Ngumu Sana

Hawa Cameroon Leo Ndio Wanaaga
A Bridge too Far...., Hata Bila kuwafanyia figisu za kuwa na Corona being Home Team itabidi tu Gambia afungashe virago...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…