2020 twende na Membe ama January Makamba?

Wanaojifanya wanademokrasia ndiyo wazembe, walarushwa na wezi wakubwa! Wenyewe kimya kimya huku wanatupiga tu! Wapiga Dili wakubwa!
Magufuli tu ata miaka 6000 mbele tu japo katiba haitaki nitashukuru kama nitampata Suleiman Jaffo 2025.
Unakichaa bora wapiga deal na maisha mazuri sio kama sasa... Miaka 6000 hiyo mkaishi chato.. miaka 30 tu hatoboi [emoji1787][emoji1787]
 
Hahahaha wewe utakua CCM tu unatafuta confort zone, ebu subiri tumalizie miaka 7 ijayo ndio uje na mada yako hapA.
Sio kweli mkuu sina chama ila napenda democracy na maisha mazuri
 
Membe au January wanafaa kuongoza familia zao tu. Urais sio rahisirahisi kama kuchemsha chai ya rangi. Tujiheshinu na kuheshimu wengine. How dare you ask us kwamba yupi atafaa kati ya marope na Membe?
 
Unakichaa bora wapiga deal na maisha mazuri sio kama sasa... Miaka 6000 hiyo mkaishi chato.. miaka 30 tu hatoboi [emoji1787][emoji1787]
Hivi unategemea maisha mazuri akuletee nani mkuu? Embu niambie toka Awamu ya kwanza hadi hii ya Tano awamu hipi ilikuwa na maisha mazuri? Unategemea huko mbele kutakuwa na maisha mazuri? unategemea huko mbele utakuja kutumia Tsh 500 kwa mlo mmoja wewe na familia yako kama enzi ya Mkapa? SAHAU HILO MJOMBA. Ninapokuambia nyosha kidole sina maana nataka urudi darsani.
 
Hata kama angengombea mbowe CCM mimi simtaki tu... iko chama kinatusumbua sana nchi hii... hata ukiwa na akili timamu ukijunga huko tu tayari ushakua kama wao sababu system inakubadiri
 
Membe au January wanafaa kuongoza familia zao tu. Urais sio rahisirahisi kama kuchemsha chai ya rangi. Tujiheshinu na kuheshimu wengine. How dare you ask us kwamba yupi atafaa kati ya marope na Membe?
Kwahiyo jiwe anafaa kuongoza ng'ombe sio kama mwana ccm mmoja alivyosemaga... Bora hao wanao weza ongoza familia coz ni binadamu... TIME FOR MEMBE OR MAKAMBA
 
Kuna kaunafauu ka maisha embu fungua ubongo wako.. kunjua mioyo ona vyama vya wakulima vinavyo waweka hoi wakulima.... Korosho,kahawa kokoa.. ni madeni tuu huko vijijini ni wakati wa soko huria na sio haya mambo ya kizamani...
 
Labda kwenye kampeni, ila kwa akili za ccm, ote watamsapoti jiwe sio membe wala january
Dah! Kweli ukiwa mfuasi wa ccm lazima kutakua na uchotwaji wa akili kidogo
 
Dah! Kweli ukiwa mfuasi wa ccm lazima kutakua na uchotwaji wa akili kidogo
Ccm sio watu wa kuwaamini hata kidogo yani huyu membe utakuta ndio yuko mstari wa mbele kusisitiza tumchague jiwe
 
Hawa wanapasa kuongoza mikoa yao tuu sio nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…