C Chesty JF-Expert Member Joined Aug 30, 2009 Posts 5,777 Reaction score 2,724 Dec 2, 2018 #261 nzoka boy said: Kaza roho hapa kazi tuu!! Click to expand... Kazi gani unayoitegemea kwa wafanyakazi wasiopanda madaraja na kupewa nyongeza za mishahara kwa miaka 3. Mnachoongea majukwaani na mnachokitekeleza ni vitu viwili tofauti
nzoka boy said: Kaza roho hapa kazi tuu!! Click to expand... Kazi gani unayoitegemea kwa wafanyakazi wasiopanda madaraja na kupewa nyongeza za mishahara kwa miaka 3. Mnachoongea majukwaani na mnachokitekeleza ni vitu viwili tofauti
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Dec 2, 2018 #262 impongo said: Nafahamu alijiunga baada ya kumnyima kijiti kugombea urais kwa tiketi ya ccm na kumuweka katika kundi la wasio na nidhamu. Membe amejiunga lini??? Mkuu ruhusu ubongo wako uwe huru acha Kuwa mtumwa wa fikra Click to expand... Hahahaa wewe kweli ni mgeni hapo Ufipa, Salary slip msaidie huyu dogo hivi Sumaye mlimpokea lini hapo Chadema!
impongo said: Nafahamu alijiunga baada ya kumnyima kijiti kugombea urais kwa tiketi ya ccm na kumuweka katika kundi la wasio na nidhamu. Membe amejiunga lini??? Mkuu ruhusu ubongo wako uwe huru acha Kuwa mtumwa wa fikra Click to expand... Hahahaa wewe kweli ni mgeni hapo Ufipa, Salary slip msaidie huyu dogo hivi Sumaye mlimpokea lini hapo Chadema!
kinundu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 2,028 Reaction score 2,169 Dec 28, 2018 Thread starter #263 Hakika KAZI NA BATA watanzania wengi wanataka... Tuwape wanacho kitaka Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika KAZI NA BATA watanzania wengi wanataka... Tuwape wanacho kitaka Sent using Jamii Forums mobile app