2020 twende na Membe ama January Makamba?

Katiba ya Nchi inasema miaka 5 tu.
 
Kwahiyo Chadema mzee Lowassa hamumtaki tena!
Alokwambia CDM wanamtaka Membe ni nani??? Wanaomtaka BM ni wa hukohuko kwenu...... Yaan mchama wenu umeshaparanganyika paranganyika.....

CDM tupo kimya....... Tunasubiri mtifuane sisi tuje tuokote nchi kilaini.
 
Naona tayari iyo dawa imeshakuingia kila mahali penye tundu
 
Membe ni President material kabisa atatufaa sana
 
Mumeanza mambo yenu
Siasa mpaka 2020
Mbona hamuelewi?
Nyoko zenu.juzi pale udsm bashite hakumwita mwenyekiti wa CCM wa dar na kuanza kuisifia CCM hizo siyo kampeni.?
 
Mpiga dili ni wewe
Wapiga dili jpm kawaminya korodani vibaya sana mpaka watafuta pa kutokea. Wanabaki kutaka watu calibre ya JK ili mambo yawe kama zamani. Akitoka JPM tunaweka majaliwa au makonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…