2020 twende na Membe ama January Makamba?

2020 twende na Membe ama January Makamba?

kinundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
2,028
Reaction score
2,168
Binafsi sio mfuasi wa CCM Wala CHADEMA... Ila kwa mfumo wa nchi yetu bado kuna uwezekano mkubwa tuu CCM ikaendelea kutawala.. JF watu wenye akili kubwa nadhani hapa tayari mmejua sababu nini siwezi rudia maana yameongelewa vya kutosha..

Kwanini Membe ama January binafsi hawa jamaa nimewatathimini na kuona wanafaa kabisa wana CCM msituangushe..

Kwanza tunahitaji raisi ambaye ni mjanja mtoto wa mjini ambae anajua namna ya kuendana na kasi ya science na technology sio huyu jamaa anapenda ukoloni na kuturudisha maisha ya kizamani kama maswala ya vyama vya wakulima ilihali now day's ni soko hulia... Uza na nunua popote unapotaka dunia...

Pili chama ana nchi anaiendesha kwa mfumo wa kizamani yani wa kikoloni a kifalme kama vile nchi yake wakati anamiaka kadhaa tuu anaondoka anatuacha wananchi...mtoto wa mjini hawezi kufanya hivyo

Msemaji ni mmoja tuu nchi nzima na neno lake ni sheria huo nao ni ushamba lazima usikilize wenzio wanasema nini..

NI MAMBO MENGI YA KISHAMBA SHAMBA SIWEZI YAANDIKA YOTE NA YANATIA KINYAA.. UNAWEZA ONGEZEA HAPO..

ni wakati sasa nchi warudishiwe wajanja na watoto wa mjini... Kati ya MEMBE AMA JANUARY...

NANI UNAONA ANAFAA KUKUONGOZA KATI YA HAO WAWILI
 
Jamani tulikuwa tunalia usiku na mchana kuwa tunahitaji rais mkali mzalendo, mwenye maamuzi magumu, mwenye kulinda raslimali za nchi kwa nguvu yoyote ile; tukampata jpm hala mnambeza tena, ' maskini haridhiki' ngoja waje hao tunaowataka nao tuwaone
 
Rasilimali zikilindwa halafu nazidi kuishi kama mbwa duniani bora ziibwe tu kwa maana zinalindwa na vitu vinafanyika ambayo sina faida navyo... Me huku masasi tapanda ndege naenda wapi na kwa hela ipi
 
Jamani tulikuwa tunalia usiku na mchana kuwa tunahitaji rais mkali mzalendo, mwenye maamuzi magumu, mwenye kulinda raslimali za nchi kwa nguvu yoyote ile; tukampata jpm hala mnambeza tena, ' maskini haridhiki' ngoja waje hao tunaowataka nao tuwaone
Huyu mkali alafu mshamba
 
Mwende wapi Mkuu! Hakuna watu wanafiki kama ccm hapa duniani 2020 utawaona hao membe na January wakimnadi jiwe
Basi hatuna jinsi ccm watuletee mwenye akili ya kijanja
 
Hakika mkuuu jiwe nimemchoka atakumuona kwenye tv anakera aanatengeneza matatizo et anakuja kuya solve mwenyewe tena
Hiyo inaitwa hero syndrome kuja jamaa kaeleza vizuri sana juu ya hili
 
Wanaojifanya wanademokrasia ndiyo wazembe, walarushwa na wezi wakubwa! Wenyewe kimya kimya huku wanatupiga tu! Wapiga Dili wakubwa!
Magufuli tu ata miaka 6000 mbele tu japo katiba haitaki nitashukuru kama nitampata Suleiman Jaffo 2025.
 
Hahahaha wewe utakua CCM tu unatafuta confort zone, ebu subiri tumalizie miaka 7 ijayo ndio uje na mada yako hapA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom