2020 Dr. Magufuli kusoma Urais

Ww mwisho wako ni leo na kwa akili yako hivi n nyir ACT mnawazaga kushika nchi?? Hahahaaa
 
Huyo bwana tuesabia 7 years ago ili atoke madarakani
 
Mkuu usituchafulie tunduru yetu watu hatuelewi hatusikii kwa anko magu .Kama huna mikorosho tafuta mashamba ya kulima ulime hata ufuta.
 
Safari ya Dar Kigoma ndio kwanza tupo Msamvu! 2025 na akiendelea na spidi hii, katiba kwani biblia au quran tunaondoa ukomo wa mihula ya urais hadi wananchi wakuchoke kwa maana kura zisitoshe au mauti tu.
[HASHTAG]#kudekasasabasi[/HASHTAG]
 
Safari ya Dar Kigoma ndio kwanza tupo Msamvu! 2025 na akiendelea na spidi hii, katiba kwani biblia au quran tunaondoa ukomo wa mihula ya urais hadi wananchi wakuchoke kwa maana kura zisitoshe au mauti tu.
[HASHTAG]#kudekasasabasi[/HASHTAG]
Msamvu mpo vijana wa lumumba...sisi tushafika kigoma mda c mrefu tunaingia stendi
 
Kila mtu anatakiwa ajue watanzania tumeelevuka kwa kiasi cha kutosha na ndiyo maana tulimchagua Dr. Magufuli bila shinikizo la ama pesa au kingine chochote zaidi ya kutumaini kufanyiwa kazi kwa uadilifu. Kwa utendaji wake mpaka sasa tunaweza kusema 'So far so good'. Tulichokitarajia kwa Magufuli ndiyo anachokifanya kwa sasa na nadhani baada ya kumaliza muda wake (hopefully miaka minane iliyobaki) tutakuwa pazuri sana. Mr. President puuza malalamiko na mawazo yote yenye lengo la kukutoa kwenye reli. Na wala usijali yamesemwa na nani.
 
Uliyoyaongea ni sawa kwa hesabu hii;1+1=2 lakini si sawa kwa hesabu hii; 1+1=11.Ni wakati wako kujuwa unapambana na hesabu IPI? ili ujuwe mbinu sahihi kwa wakati sahihi ili upambane kiyakinifu.
 
Sawa Mkuu lazima tumpake tu jinsi anavyoliaibisha Taifa letu. Akiingia humu atatusoma.

Huwa Anaingiaga Humu Na Li-ID lake Fake mzee Hana Aibu Yule Badala Ya Kuplan Stratergy za Kututoa kwenye 3rd World Countries yeye Anakesha INSTAGRAM kwa mange Kimambi Na JF jukwaa La Siasa.
 
Good thinking Lakini kwa Katiba ipi ama kwa tume hiihii ya Uchaguzi
 
!hahahahahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…