johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,131
Mkuu, unajidanganya sana! Lisu hana kipya ni sawa na kina lema tu.Kesheni mkiomba Lissu asigombee, Lissu hawezi kuwa rais bora hilo halina mjadala. Lakini ndiye atakuwa mgombea sahihi kuliko Lowassa. Lissu anakubalika kwa mbali kuliko Magufuli, hivyo uchaguzi huo iwapo Lissu atagombea itabidi ccm ifanye mauji sana kwa kutumia madaraka ya rais na utakuwa ni uchaguzi utakaovunja sheria sana ili ccm kutangazwa washindi. Hilo sio tatizo, tatizo ni mgawanyiko mkubwa kama taifa baada ya rafu zitakazochezwa kwenye uchaguzi huo.
Sasa mbona wewe ni kinara wa kutaka mimi niache hicho unachofanya wewe na ulichozoea kufanya kila uzi na kila siku? Inakuwaje wewe kila uzi unacomment upupu tu? Kaa kimya ficha upumbavu wako.oya usilete kujuana hapa jukwaani fanya yaliyokufanya ulipie bando sip kufuata maisha ya watu
mtoa uzi ni mpuuzi huwa namlinganisha kama shaka s.shaka kiongozi wa ccm aliye na mahusiano na bwana salumu mpelembwe aliyekuwa kiongozi wa uvccm kule tanga. mpuuzi sana huyu bwana
Kesheni mkiomba Lissu asigombee, Lissu hawezi kuwa rais bora hilo halina mjadala. Lakini ndiye atakuwa mgombea sahihi kuliko Lowassa. Lissu anakubalika kwa mbali kuliko Magufuli, hivyo uchaguzi huo iwapo Lissu atagombea itabidi ccm ifanye mauji sana kwa kutumia madaraka ya rais na utakuwa ni uchaguzi utakaovunja sheria sana ili ccm kutangazwa washindi. Hilo sio tatizo, tatizo ni mgawanyiko mkubwa kama taifa baada ya rafu zitakazochezwa kwenye uchaguzi huo.
Mkuu, unajidanganya sana! Lisu hana kipya ni sawa na kina lema tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesheni mkiomba Lissu asigombee, Lissu hawezi kuwa rais bora hilo halina mjadala. Lakini ndiye atakuwa mgombea sahihi kuliko Lowassa. Lissu anakubalika kwa mbali kuliko Magufuli, hivyo uchaguzi huo iwapo Lissu atagombea itabidi ccm ifanye mauji sana kwa kutumia madaraka ya rais na utakuwa ni uchaguzi utakaovunja sheria sana ili ccm kutangazwa washindi. Hilo sio tatizo, tatizo ni mgawanyiko mkubwa kama taifa baada ya rafu zitakazochezwa kwenye uchaguzi huo.
Yani lowassa umpambanishe na lissu kweli!!!!! Punguza mahaba kwa lissu ndugu.
types of leadersToka umemfahamu Lowassa ni lini umemuona hata akihutubia nusu saa point zilizonyooka? Niambie siku alitoa hutuba ikakugusa zaidi ya sifa zote kumwagwa na wapambe?
..naomba kutofautiana na wewe.
..there is a softer side of TL ila tatizo watu hawajauona upande huo.
..he is also very well read. Anapenda kujifunza wakati wote.
..ni mtu anayependa kusikiliza na haogopi kukosolewa. He does not take himself too seriously.
..anajali sana UTU wa binadamu, na anaamini ktk HAKI. And he would go to the extreme kutetea HAKI.
..Naamini mtu mwenye vigezo hivyo na vingine vya ziada anaweza kabisa kuwa kiongozi bora.
Kuhutubia sio inshu, inshu.niupepo lissu hana kashfa yoyote zaidi ya usaliti,lakini lowassa pamoja kuwa na kashfa yote stil bado alikuwa ana hamsha amsha ya watu kumuelewa.Toka umemfahamu Lowassa ni lini umemuona hata akihutubia nusu saa point zilizonyooka? Niambie siku alitoa hutuba ikakugusa zaidi ya sifa zote kumwagwa na wapambe?
Mkuu ni kweli Lissu hawezi kuwa rais bora maana naye ana hulka za kidikteta kama Magufuli, pia atapoteza Muda mwingi mwenye mapinduzi ya baadhi ya sheria kuliko kuwajibika generally kama rais, hata Magufuli anaonekana kubase sana kwenye ujenzi wa miundombinu kuliko sekta Nyingine,Kesheni mkiomba Lissu asigombee, Lissu hawezi kuwa rais bora hilo halina mjadala. Lakini ndiye atakuwa mgombea sahihi kuliko Lowassa. Lissu anakubalika kwa mbali kuliko Magufuli, hivyo uchaguzi huo iwapo Lissu atagombea itabidi ccm ifanye mauji sana kwa kutumia madaraka ya rais na utakuwa ni uchaguzi utakaovunja sheria sana ili ccm kutangazwa washindi. Hilo sio tatizo, tatizo ni mgawanyiko mkubwa kama taifa baada ya rafu zitakazochezwa kwenye uchaguzi huo.
Ninyi mnadhani Lissu anaweza kuwa rais bora zaid hata ya Magufuli???? Ni suala ambalo haliwezekaniBila kupinga maoni yako kwani nakuheshimu sana. Sikuwahi kumshuhudua Lissu akijihusisha na siasa za maendeleo. Nimemuona Lissu akiwa mzuri kwenye utetezi wa watu na mzuri katika ushawishi wa kisiasa, na yuko vyema kwenye sheria, huenda akatupa katiba mpya. Wasiwasi wangu anaweza kujikita kwenye eneo moja la kisheria na kuacha maeneo mengine. Pia ni hatari kuwa na mtu mwenye misimamo mikali kama tunavyoona kwa Magufuli sasa. Kwa mfano sasa tunaoona rais akijikita Zaidi kwenye miundo mbinu na kushindwa sehemu nyingine kama ajira, demokrasia, kilimo, uchumi nk.
Bila kuficha mtazamo wangu, kwangu Zitto anaweza kuwa rais bora kuliko wengine wote kwani ana misimamo ya wastani, ni rahisi kuwaunganisha watu wote, anaujua uchumi, anaweza siasa za maendeleo, anaiheshimu demokrasia, anajua mambo ya kijamii nk. Kwangu Zitto ni bora kuliko Magufuli au Lissu hiyo 2020 kwa sasa. Iwapo Lissu atapitishwa na cdm nitamuunga mkono, sio kwakuwa nategemea ubora toka kwake, lakini naamini atakuwa bora kuliko Magufuli.