2020 CHADEMA watalazimika kumuomba tena mzee Lowassa awe mgombea wao wa urais kwa sababu za kifedha

Ni hivi, Lissu atagombea na mchakamchaka utakuwepo wa kutosha. Kwenye karatasi za kura kwenye picha ya Magufuli wekeni picha ya SGR, SG, Flyover nk, na kwenye picha ya Lissu wekeni picha anawapa wazungu madini, halafu acheni uchaguzi uwe huru mtafurahi. Huyo jiwe na hiyo lafudhi yake ya kisukuma na maneno ya kiswahili kuchanganya na kiingereza hamtaamini macho yenu.

Hahahahhahaha
 
Lissu kapewa fedha ya kutosha na hawa watu wa hapa hivo usidhani hawana hela wamejipanga na wengine wamemuahidi mambo mengisana wakati wa kampeni kwamba amuangushe Magufuli, lakini hizo ni kazi za kupoteza muda Magufuli ataendelea kuwa ikulu hadi 2025 na mbaya zaid wao watagombana wao kwa wao kuhusu kugombea
2020 ndio mwisho wa jiwe
 
Lowasa alikuwa anaaminika katika jamii ya wafanyabiashara na vilevile alileta ile amsha amsha na hali ya kuamini anaweza kushinda urais, wafanyabiashara wengi walimpa pesa za kampeni. Lissu hana mahusiano mazuri na wafanyabiashara labda mabeberu tu ambao pia pesa yao hawatoi ovyo pia kuna hali ya kuonekana kama Lissu ni mtu wa kwenda kumchangamsha tu Magu hiyo 2020 ila uwezo wa kushinda hakuna. Hii pia inapunguza uwezekano wa kupata pesa za kampeni kwa kuwa wengi wanaotoa pesa wanategemea ushinde ulinde biashara zao vinginevyo kwa nini wakupe pesa zao.

Nihitimishe kwa kusema, Lissu ni kama ngoma ya watoto haiwezi kukesha, kila mtu anajua uwezekano wa yeye kushinda ni hakuna na hichi ndicho kinachofanya hata hao mabeberu anaowalilia washindwe kumpa msaada mkubwa. Kwa nini waharibu biashara zao kwa fungu la kukosa. Lissu anaonekana ni kama mwanaharakati tu asiye na mikakati haswaa.
 
Tanzania na africa kwa ujumla wake hakuna vyama vya upinzani. Na hakuna duniani kote nchi inayoendeshwa kidemocrasia. Na haku na system ya kipumbavu na ya kijinga kama democracy. Siku nikitamani kuwaambia nitawaambia, ila wengi wetu hatujui sababu tumezaliwa ndani ya ujinga unaoitwa democracy. Jiulize tu toka tumeletewa hili zimwi linaloitwa democrasia, ni faida gani tumepata africa zaidi ya kutwangana sisi kwa sisi. Ujamaa ndo system nzuri sana niiipendayo kwani huna chako ukimiliki zaidi unanyanganywa

Sent using Jamii Forums mobile app
Simple wewe ni mvivu na mzembe
 
..mtu anayeamini ktk HAKI za binadamu and RULE OF LAW kama TL atakuwaje dikteta?

..hivi umemsikiliza vizuri akizungumzia his role models?

Cc Keynez

Lissu amaweza kuwa Rais mzuri kama CCM itaacha siasa za hovyo ili aongoze ila naona uwezekano mkubwa wa CCM kutumia nguvu nyingi ili uongozi wake uonekane mbaya. Unless akiingia tu aifyekelee mbali.

Ila juzi nilisema Lissu anaweza kutengeneza legacy kubwa akipewa nafasi ya Jaji Mkuu na kupewa uhuru kamili wa kuunda upya mfumo wa Mahakama na sheria. Kabla ya hapo awe Kiongozi wa uundwaji wa Katiba mpya hadi itakapopatikana. Hizo positions mbili zinamtosha kutengeneza legacy itakayodumu. Kwenye urais awe King maker.

Kuhusu Zitto, niliwahi kutoa maoni yangu kumuhusu, kiufupi simuamini kabisa. Kwanza anataka kuturudishia hadithi za ujamaa na hiyo ni indication tosha kuwa ana affiliations na CCM.
 
Lisu hana mtandao ni yeye kama yeye . Lowassa alipata kura nyingi kwa kuwa alikuwa na mtandao mkubwa kwanza wa mikoa ya kaskazin na watu wa kaskazini,pili mtandao wa CUF Zanzibar aliopewa na rafiki yake Maalim Seif ,tatu alikuwa na mtandao wa CCM nne alikuwa na mtandao mkubwa wa wafanyabiashara na matajiri,tano alikuwa na mtandao wa viongozi wa dini.Tundu Lisu mtandao wake ni mdomo wake tu.Anaota akidhani uraisi kushinda ni mdomo tu!!!!!! Hana mtandao hata ndani ya chadema yenyewe.Lisu sio team player hupenda kucheza yeye kama yeye!!!!!!
 
Tanzania na africa kwa ujumla wake hakuna vyama vya upinzani. Na hakuna duniani kote nchi inayoendeshwa kidemocrasia. Na haku na system ya kipumbavu na ya kijinga kama democracy. Siku nikitamani kuwaambia nitawaambia, ila wengi wetu hatujui sababu tumezaliwa ndani ya ujinga unaoitwa democracy. Jiulize tu toka tumeletewa hili zimwi linaloitwa democrasia, ni faida gani tumepata africa zaidi ya kutwangana sisi kwa sisi. Ujamaa ndo system nzuri sana niiipendayo kwani huna chako ukimiliki zaidi unanyanganywa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa na wewe umeandika nini hichi uchafu utawajua washangilia fly over hawa
 
Tatizo ni democrasia au akili zetu wenyewe.Hivi wewe huoni siasa zetu afrika zina tofauti kubwa sana na siasa za mataifa mengine uko nje.Ata kama nako kuna matatizo ya hapa na pale ila sio kama haya uku kwetu.kwaiyo tatizo ni sisi wenyewe nasio demokrasia kama mfumo wakuongozana nakushindana kwa hoja.
Tanzania na africa kwa ujumla wake hakuna vyama vya upinzani. Na hakuna duniani kote nchi inayoendeshwa kidemocrasia. Na haku na system ya kipumbavu na ya kijinga kama democracy. Siku nikitamani kuwaambia nitawaambia, ila wengi wetu hatujui sababu tumezaliwa ndani ya ujinga unaoitwa democracy. Jiulize tu toka tumeletewa hili zimwi linaloitwa democrasia, ni faida gani tumepata africa zaidi ya kutwangana sisi kwa sisi. Ujamaa ndo system nzuri sana niiipendayo kwani huna chako ukimiliki zaidi unanyanganywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaetabiri hayo ni mwanachama wa ccm. Hahahaa
Aise mkuu hata kama ni propaganda uwe unaangalia sometimes unazitoa kwenye mazingira gani
Kwa sasa Chadema imekuwa kama timu ya Yanga hali yake kifedha si shwari na inaishi kwa kutegemea ruzuku ya serikali.
Kutokana na ukweli huo wagombea wote wa chadema iwe wa udiwani, ubunge au urais itawalazimu kujigharamia gharama za kampeni, chama kinaweza labda kutoa bendera.

Kwa namna ya ukubwa wa kampeni za urais nchi nzima simuoni wa kuweza kumudu gharama zake pale Ufipa zaidi ya mzee Lowassa.

Hivyo ni vyama Chadema ikamueleza mapema Tundu Antipas Lisu kwamba asilitelekeze jimbo la Singida mashariki kwa matumaini ya kupewa nafasi ya kugombea urais, nahofia yale ya Dr Slaa yasije yakajirudia 2020.

Ni katika kukumbushana tu
Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu hana mtandao ni yeye kama yeye . Lowassa alipata kura nyingi kwa kuwa alikuwa na mtandao mkubwa kwanza wa mikoa ya kaskazin na watu wa kaskazini,pili mtandao wa CUF Zanzibar aliopewa na rafiki yake Maalim Seif ,tatu alikuwa na mtandao wa CCM nne alikuwa na mtandao mkubwa wa wafanyabiashara na matajiri,tano alikuwa na mtandao wa viongozi wa dini.Tundu Lisu mtandao wake ni mdomo wake tu.Anaota akidhani uraisi kushinda ni mdomo tu!!!!!! Hana mtandao hata ndani ya chadema yenyewe.Lisu sio team player hupenda kucheza yeye kama yeye!!!!!!
Kwa maana hiyo magufuli alikiwa na mtandao? Tuanzie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu kugombana unajidanganya
Upande Wa Mkono Wa mavi ndio watagombana

Back
Top Bottom