Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mbunge anazuia mafuriko na mikono!? Watu wengine bhana!Ni kwel hapa moshi vijijini mafuriko yametokea mbunge aonekani sijui itakuaje..
Hivi bado tu hujaamini kuwa Cyril Chami amepigwa chini na hatakiwi?Ni kwel hapa moshi vijijini mafuriko yametokea mbunge aonekani sijui itakuaje..
Bunge recorded ni kwa wote Mbona mnalia sana?Sasa tuachieni bunge basi liwe live, mnaogopa nini?
Uhuru wa habari unatusaidia nini kwani uhuru wa habari unachimba visima vya maji mbona rwanda na islael hakuna uhuru wa habari lkn mambo yanasonga.unaota ndoto wewe. magu anayeharibu mpaka mazuri ya jk ya kuacha uhuru wa habari. endelea kuota....
Kwani simtaibiwa tena? Kwanini msiweze kuibiwa tena kama mwanzo mliweza kuibiwa nini kitazuia kuibiwa tena.Ndo za viroba izo, chadema tunafkir kuchukua nchi, mambo ya wabunge hatuwaz coz uchaguz uliyopita bila kuiba ccm msinge pata wabunge
dawa yenu mbona imeshapatika subr 2020, dk kibuku wenu wa kukurupukaKwani simtaibiwa tena? Kwanini msiweze kuibiwa tena kama mwanzo mliweza kuibiwa nini kitazuia kuibiwa tena.