Uwe na kumbukumbu, mchujo ndani ya ccm ni baada ya miaka kumi. Nadhani mh. Wa sasa aliliona hilo ndo wakabadilisha katiba ya ccm. Upo hapo?Habari za jioni wakuu..
Kama kichwa cha habari kinavyojionesha mimi naona hii miaka mitano imemtosha kabisa raisi wetu Mh.JOHN POMBE MAGUFULI na ningependa MAMA SAMIA SULUHU apokee kijiti cha kuongoza hili taifa.
Maana nimeangalia hali inayoenda nikaona tunahitaji IDEOLOGY mpya ya kuongoza hii nchi na mtu anayeweza kutuvusha ni MAMA SAMIA SULUHU.
Rais Magufuli amejitahidi kwa kiwango chake na inatosha hapa alipofikia..tunamshukuru kwa Uongozi wake.
Ni maoni yangu tu. Siku njema.
Labda ccm ikatike mara 2,hata baba wa Taifa alisema upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccmSikulijua hilo mkuu..ila ningependa tupate kiongoz mwingine kwakwel
okKWani zamu ya waisilamu tayari?
Sasa hivi tunamtaka Jecha. Tunataka mzanzibari
Habari za jioni wakuu..
Kama kichwa cha habari kinavyojionesha mimi naona hii miaka mitano imemtosha kabisa raisi wetu Mh.JOHN POMBE MAGUFULI na ningependa MAMA SAMIA SULUHU apokee kijiti cha kuongoza hili taifa.
Maana nimeangalia hali inayoenda nikaona tunahitaji IDEOLOGY mpya ya kuongoza hii nchi na mtu anayeweza kutuvusha ni MAMA SAMIA SULUHU.
Rais Magufuli amejitahidi kwa kiwango chake na inatosha hapa alipofikia..tunamshukuru kwa Uongozi wake.
Ni maoni yangu tu. Siku njema.
Mkuu me naona km tunapotea hivi..ubabe umekuwa mwingi..Mimi naona bado tunamhitaji Mh. Pombe ili tuwe na adabu vya kutosha. Akipata miaka mingine 5, wale wote waliokuwa wanaimba "Waacheni waandamane, 'wajinga hao'" watakuwa nao wameisoma namba vya kutosha, na watakuwa wametia akili.
Hatupangishi tena ofisi za chama kama zamani, pombe hatunywi hadi saa 12 tena chupa moja ya kubahatisha, buchani tunaenda kwa nidhamu, barabarani trafiki watano umbali wa chini ya km 10, uhakika wa kesho ukiwa na kibarua 10%, utumbuzi kama kawa nk nk.
Nikweli kuwa "tunapata taabu sana". Lakini nahisi bado dawa haijaingia vyakutosha!
Of course ni mawazo yako, tena ni ya kipumbavu na kijinga na kishenzi. Hayana maana hata kidogo.Habari za jioni wakuu..
Kama kichwa cha habari kinavyojionesha mimi naona hii miaka mitano imemtosha kabisa raisi wetu Mh.JOHN POMBE MAGUFULI na ningependa MAMA SAMIA SULUHU apokee kijiti cha kuongoza hili taifa.
Maana nimeangalia hali inayoenda nikaona tunahitaji IDEOLOGY mpya ya kuongoza hii nchi na mtu anayeweza kutuvusha ni MAMA SAMIA SULUHU.
Rais Magufuli amejitahidi kwa kiwango chake na inatosha hapa alipofikia..tunamshukuru kwa Uongozi wake.
Ni maoni yangu tu. Siku njema.
Hahahaahaha, aise mbona walihama wale mawaziri wakuu wastaafu wawili lakini hamna kitu. Unafikiri akkihama nani ndio maneno ya mwalimu yatatimia?Labda ccm ikatike mara 2,hata baba wa Taifa alisema upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm
Nani kakudanganya nchi hii imewahi tawaliwa na waislamu?KWani zamu ya waisilamu tayari?