2019 Africa Cup of Nations Special Thread

nimecheka sana hii sredi kuna watu mna vituko sana humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani umeacha kuongea uhalisia umeongelea kimahaba. Yaani umesema Algeria anamfunga Senegal goal 3-0 halafu hao hao Algeria wanamtandika Senegal ambao Tanzania wamechezea kichapo cha goal mbili halafu eti Tanzania itoke nao sare. Ndoto yako inachekesha sana
 
THE GAME unataka kuniaminisha kwamba akina iwobi, victor mosses,ahmed mussa, mikel na wenzao hamna kitu kabisa[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…