Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,792
- 6,768
Well said Kasinde.. ain't nothing good as having a great meal with ur wife and kids at home
Kwanza mlo wa jioni/usiku ni muhimu kujumuika na familia, saa ngapi utawafundisha watoto table manners!Wababa wanaojali tuu ndo hufanya hivi....
Kwanza mlo wa jioni/usiku ni muhimu kujumuika na familia, saa ngapi utawafundisha watoto table manners!
Amen.Mie ujumbe wangu ni, ewe mzazi kama unapenda ssna kilevi, ukitoka kazini chukua take away zako 3 baada ya kupata mlo wa usiku na familia basi fungua chupa zako 3. Hii itasaidia kujenga familia zenu na kuepuka vishawishi na marafiki wabaya wa usiku.
Sio table manners tu, utapata pia wasaa wa kuongea na watoto hata kujua matatizo yao.Kwanza mlo wa jioni/usiku ni muhimu kujumuika na familia, saa ngapi utawafundisha watoto table manners!
ni bora mzazi ulale njaa , ila watoto wale.
Haka katabia ka kijichana kapo sana maeneo ya PWANI, TANGA na DSM
Kweli kabisa. Ukikaa karibu na watoto ni rahisi kujua shida zao, tatizo tunatafuta pesa tukisahau kuwa tunamtafutia nani.Sio table manners tu, utapata pia wasaa wa kuongea na watoto hata kujua matatizo yao.
Nadhani wazazi wengi tuna ubinafsi!! Sasa kama umeacha hela ya ugali-harage, unaenda kupiga kuku mchemsho, tuseme nini kama sio ubinafsi!!Tena mtoto ananunua mihogo yake ya kunywea chai wakati huo huo baba anajichana na chapati na samaki.huruma sana.