Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,696
- 119,329
Wanabodi,
Heri ya Mwaka Mpya 2017.
Hizi ni salaam zangu kwa wana jf wenzangu kuwa kwa mwaka 2016 na miaka ya nyuma, sote tumeshuhudia jinsi JF ilivyo na impact kwa mustakabali wa taifa hili.
Kitendo cha kukamatwa mmiliki wa JF, Maxence Melo, kwa kukataa kutoa majina ya wana jf kwa polisi ili washughulikiwe, ni uthibitisho tosha kuwa kuna michango ya wana jf ni mkuki ambao unawachoma wahusika mpaka moyoni kiasi cha kuwasaka. This means JF has powers, it's a powerful tool to bring about the changes we anticipate and expect.
Hivyo jf has a role to play kwa kutumia the jf powers kwenye ku shape the direction na mustakabali wa taifa letu, lets be more responsible towards kujenga na sio kubomoa, hivyo natoa wito kwa wana JF kwa mwaka huu, tuhubiri zaidi Upendo, ili kujenga mshikamano wa kweli kwa CCM na Wapinzani kupendana kwa dhati, kuheshimiana, na kushirikiana kuleta maendeleo kwa taifa letu kwa sababu, its only together we can!.
Upendo ndio amri kuu kuliko zote humu duniani ambayo Mungu ametupa. Naomba kuazima hii mistari kutoka kitabu fulani kuhusu upendo "Upendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno. Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hau tafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli. Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote"
Kwa vile CCM ndio chama tawala na serikali yake, viongozi wake wote kuanzia juu kwa Mwenyekiti hadi kwa mjumbe wa shina, na viongozi wote wa serikali, kuanzia rais wa nchi hadi serikali ya mtaa, wana wajibu na jukumu sio tuu la kuhubiri upendo kwa maneno tuu, bali kwa kufanya matendo yanayoashiria upendo wa kweli, (practising what you preach) kwa kuwapenda kwa dhati Watanzania wote, na watu wote, wakiwemo wapinzani ambao nao ni Watanzania, itawaheshimu wote, haitawanyanyasa, haitawabagua, haitawadharau, haitawabeza, itawatendea haki, itaendesha chaguzi zake kwa uhuru na haki, hivyo itashinda kwa haki, na wapinzani watashindwa kwa haki, hivyo watakubali kushindwa na kumpongeza mshindi na kushirikiana nae kuleta maendeleo.
Kama CCM ina upendo wa dhati, pia itachukua yale mazuri ya wapinzani na kuwashirikisha katika kuya implement kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
Kwa kwa hali ilivyo sasa kati ya CCM na Wapinzani ni kama paka na panya, kwa CCM ikijiona ndio pekee yenye hati miliki ya kutawala taifa hili la Tanzania milele, hivyo yoyote atakayetishia status quo ya CCM kutawala milele, kuonekana kama ni adui, na sisi jf tukiwemo, hivyo CCM inawaona wapinzani kama maadui wenye lengo la kuwapokonya kitumbua chao, hivyo kutumia kila mbinu kuhakikisha inabakia madarakani by hooks and crooks, ikiwemo kutumia mbinu ya bao la mkono, kuminya demokrasia, kuminya uhuru wa kujieleza, uhuru wa kutoa maoni, uhuru wa kukusanyika, kukandamiza upinzani hata ikibidi kuikanyaga katiba, wataikanyaga kwa lengo la kuwakomoa wapinzani kumbe wanawakomoa Watanzania. Kwa Hali hii mtu inakubidi ujiulize kama huu ni upendo wa kweli na upendo wa dhati kwa Watanzania.
Tanzania ni yetu sote, hii nchi sio mali ya CCM au mtu yoyote, ni mali ya Watanzania wote wakiwemo CCM wenye dhamana ya kutawala lakini pia Wapinzani na wengine wote hata wasio na vyama ndio maana tukaweka vipengele vya haki za kila mtu na wajibu wake kwenye katiba yetu.
CCM na serikali yake wana wajibu wa kuiheshimu katiba, sheria taratibu na kanuni ili kuonyesha upendo wa dhati kwa Watanzania wote wakiwemo wapinzani, nayo pia itapendwa na wote, na kuheshimuwa na wote wakiwemo wapinzani hivyo sote tutapendana kwa dhati kama Watanzania, tutaheshimiana na kushirikiana kuleta maendeleo ya taifa letu.
Naomba kukiri, nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili, baada ya kusoma salaam za mwaka mpya za mwana jf huyu katika bandiko lake
https://www.jamiiforums.com/threads/neno-la-mwaka-mpya-tugange-yajayo.
Asante
Kwa kuanzia, kwanza naunga mkono hoja ya heshima, ni two way traffic, kwa mkubwa aheshimu mdogo na mdogo aheshimu mkubwa. Heshima ya kweli huwa earned na sio heshima ya kuwa forced. Mzizi wa heshima ya kweli ni upendo wa dhati. Hivyo upendo ndio utangulie kwa watu wote tupendande, bila kujali tofauti zetu, ndipo heshima ya kweli ifuatie na ipatikane, kwenye upendo wa kweli kunakuwa na amani na mshikamano.
Viongozi wa chama tawala wawapende kwa dhati wapinzani, kikiwa na upendo wa dhati, CCM itawaheshimu wapinzani na wapinzani wataiheshimu CCM na kushirikiana nayo kwa pamoja kuleta maendeleo endelevu.
Akitokea kiongozi anayejisikia y eye ndio yeye, kwa vile chama chake Kimeshinda uchaguzi na y eye ndie mkuu, basi anajiona yeye ndie kila kitu, yeye ndie alfa na omega wa Tanzanian, na mtu akikohoa tuu kama Lema alivyokohoa tuu, then sasa anaozea jela!. Huu sio upendo wa kweli.
Katiba inatoa haki fulani za msingi sana, alafu anajitokeza mtu mmoja aliyeapa kuilinda hiyo katiba lakini anaisigina huku akiangaliwa tuu, na kushangiliwa, kiongozi wa namna hii haonyeshi upendo wa kweli na upendo wa dhati toka moyoni Kwke, ila ataheshimiwa kwa heshima ya uoga, Watanzania wote wakiwemo wapinzani, watatii kila amri sio kwa utii wa upendo, bali kwa utii wa nidhamu ya uoga.
Tanzania ni yetu wote, Tupendane kwa dhati kwa Upendo wa Kweli, Tuheshimiane, tuijenge nchi yetu. Tukipendana, tutaheshimiana na tutashirikiana kuleta maendeleo ya kulijenga taifa letu na kuliletea maendeleo.
Heri ya Mwaka Mpya 2017.
Paskali

Mkuu Maggid, nimeguswa hii mistari hivyo nami nimekuwa inspired kuandika kitu.Ndugu zangu,
Tumeingia mwaka 2017. Maisha binafsi na ya taifa lazima yasonge mbele.
Tanzania ni nchi yetu. Tuna wajibu, bila kujali tofauti zetu za kiitikadi na kimitazamo. Bila kujali ni Serikali ya chama gani iko madarakani, kufanya yote kuhakikisha tunaisadia Serikali iliyo madarakani ifanikiwe katika kuifanya nchi yetu kuwa yenye uwezo wa kiushindani kwenye dunia ya ushindani.
Huko ni kutimiza wajibu wetu wa kizalendo kwa nchi tuliyozaliwa na tunayoipenda.
Tuendelee kutekeleza wajibu huu kwenye mwaka huu wa 2017 na inayokuja.
Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania.
Happy New Year!
Maggid Mjengwa.
Iringa.