Kumbuka kuwa Mamlaka ya Utabiri wa hali ya hewa wametabiri maeneo mengi nchini yatakuwa na mvua chini ya wastani na hivi sasa hali inaonekana kuwa hivyoKila mmoja arudi kwao akalime maana mjini watabaki wenye napo
Sasa tukiogopa kurudi kijijini kulima eti mvua Hamna je Hamna mazao yanayo vumilia mvua za wastan?Kumbuka kuwa Mamlaka ya Utabiri wa hali ya hewa wametabiri maeneo mengi nchini yatakuwa na mvua chini ya wastani na hivi sasa hali inaonekana kuwa hivyo
TUTAJIESasa tukiogopa kurudi kijijini kulima eti mvua Hamna je Hamna mazao yanayo vumilia mvua za wastan?
Mtama , mihogo.TUTAJIE
Kwa bajeti ipi????Hayo unayoyafikiria sidhani kama yatatokea.
Serikali ilikuwa inadhibiti mianya ya upotevu wa fedha na ninaamini ipo tayari kuwaongezea watumishi mishahara ambayo itawatosha kwa kuishi(Living wage)
Kuna baa la njaa linakuja, mnaacha kuja na namna ya kukabiliana na hili, nyie kila siku kazi ya kuchambua Serikali tuuu!. Mwenzenu yuko bze kuifumua na kuijenga upya nchi. Na uzuri muda was kusikiliza upuuzi hana. Ss ngoja njaa ifike na huku umetumbuliwa.....!. Kila siku kazi ya kulalamika tuuu, tujiongeze akili.habari wadau..
kwa hali ilivyokuwa mwaka 2016 inaaonesha mwaka 2017 ndio tutaona matokeo mazuri ya mabadiliko..
naona makampuni ya simu yatapunguza sana wafanyakazi.. tigo yupo kwenye mchakato, zantel nae, hallotel, voda na airtel nao watafata soon..
naona banks nazo zikifunga baadhi ya branches na watu kukosa kazi...
branch mpya zitakuwa chache sana hasa sehem potential tu.. so ajira mpya zitakuwa chache sana..
sitegemei kuona hotel zikijengwa kwa spidi.. zaidi ya hotel kuzidi kufungwa.. so ajira za hotel zitapotea sana..
fast jet, precision nao watasitisha sana ajira kwa spidi hii ya atcl. ajira za anga kushney nazo.
hapo bado viwanda vya bia, juice navyo lazima vitingishike...
haya ni mawazo yangu tu
bila kusahau serikalini utumbuaji na kufukuzana kazi kutaongezeka spidi sana.. maana kila bosi anatafuta mtu wa kumtimua nowdays. .
serikali itafukuza sana wafanyakazi wake kwa makosa madogo madogo ili iwapunguze idadi kubaki na wachache zaidi...
naliona neno kama hutaki acha kazi litatumika sana kila ofisi nchini kuanzia private hadi goverment sectors..
Utalima kama zao la bniashara au chakula cha kula nyumbani kwako na familia.Mtama , mihogo.